kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
Wadau
Habari za asubuhi hivi kuna haka katabia sisi mabachelor wenye vyumba viwili na kitanda kimoja tukipata wageni mara nyingi wageni wanakuja na mashuka yao huwa hatujui kama wasafi au Lah mara unashangaa wamekuachia kunguni wakisepa Dah kichwa kinauma sana uanze kukabiliana nao