biashara ndogo ndogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo ukizifanya kwa ukubwa na uweledi, zinaweza kukulipa mshahara ata zaidi ya milioni 50 kwa mwezi

    Yote yanawezekana, kazi ya kichwa ni kufikiri namna ya kutimiza malengo yako. Ni vizuri kukifikirisha kichwa kwenye mambo ya msingi, ili kurahisisha kupata mahitaji yako ya msingi ukiwa hapa duniani. Ingawa wengine wanachukulia kichwa kama pambo la mwili na kutokukifikirisha kwenye mambo ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuanza biashara ndogo ndogo ukiwa na majukumu ni ngumu mno kutoboa

    "Mnaolalamika hakuna ajira muende mkajiajiri msisubiri kuajiariwa" Hizi si kauli ngeni mjini ila ni kauli ambazo husemwa na watu ambao aidha hawajawahi pitia msoto wa mtaani au wana watu wa kuwapush nyuma yao wakikwama. Ni kweli, kwa namna moja ama nyingine kujiajiri linaweza kuwa sulihisho la...
  3. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Cloud ni Silaha Mpya ya Biashara Ndogo Ndogo

    Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa. Lakini ukweli ni kwamba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kero za ushuru wa biashara ndogo ndogo temeke

    Habari wanajikwaa Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DC Iringa atoa siku 14 TANROADS, TARURA kuzuia uvamizi wa hifadhi za barabara ikiwemo biashara ndogo ndogo

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James ametoa siku 14 kwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani humo kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kisheria kuzuia vitendo vya mara kwa mara vya uvamizi wa hifadhi za barabara vinavyosababishwa na...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo zinazolipa Dar es salaam

    Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka 1. Miwa- hii inalipa sana 2. Karanga 3. Kahawa- faida X2 4. Fenesi- k/koo&sinza, Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa wapambanaji zaidi.
  7. 2996mussa

    JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kufanya kwa mtaji wa 200,000/=

    Kuanza biashara na mtaji wa TSH 200,000/= katika mji kama Dar es Salaam inawezekana kwa kuchagua biashara ndogo ndogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa. Hapa kuna mawazo ya biashara ambazo unaweza kuanzisha: 1. Biashara ya Vyakula vya Mtaani Samosa na Vitumbua: Unaweza kuanza kuuza vitafunwa kama...
Back
Top Bottom