Kero za ugaidi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,358
2,000
linapokuja suala la ugaidi watoto huwa ndio hatari zaidi sababu wao ni rahisi kurubuniwa na magaidi wakubwa.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
145,716
2,000
linapokuja suala la ugaidi watoto huwa ndio hatari zaidi sababu wao ni rahisi kurubuniwa na magaidi wakubwa.
Popote pale ulimwenguni suala la ugaidi linapaswa kuchukuliwa kwa hadhari kubwa kwakuwa katika mchakato wa kupambana na ugaidi badala ya kudhani unamaliza tatizo kumbe ndio unazidi kulikuza! Ishu ya ugaidi ni suala tete mno
 
Granta

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,680
2,000
Tumeendelea kuwa mabox ya kuhifadhi ideology za kimagharibi, kabla ya USA hajaanza kutamka neno ugaidi no one else does...Tunaiga tu
 
Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,750
2,000
Tumeendelea kuwa mabox ya kuhifadhi ideology za kimagharibi, kabla ya USA hajaanza kutamka neno ugaidi no one else does...Tunaiga tu
tatizo ni watu wengi wanaendelea kushikilia na kuzikubali propaganda za hawa jamaa wauaji na magaidi namba moja duniani ¤ ¤ ¤ U s A.
Dunia inaangamizwa.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
145,716
2,000
Tumeendelea kuwa mabox ya kuhifadhi ideology za kimagharibi, kabla ya USA hajaanza kutamka neno ugaidi no one else does...Tunaiga tu
tatizo ni watu wengi wanaendelea kushikilia na kuzikubali propaganda za hawa jamaa wauaji na magaidi namba moja duniani ¤ ¤ ¤ U s A.
Dunia inaangamizwa.
Lengo kuu la hii post ilikuwa ni kuonyesha KERO ya hicho kinachoitwa ugaidi kwa tafsiri ya sasa

Zamani sisi ilikuwa ni sifa kuu kuitwa gaidi kwa mfano mtu kupita pekeyake kwenye msitu mnene usiku huyo alisifika kuwa ni gaidi au kutongoza binti ambaye hatongozeki kipindi kile! Kwakuwa binti akisema MBWITU(NO) by then ni mbwitu has a hatanii tofauti na kipindi hiki

Kwa ufupi ni kwamba ugaidi ilikuwa ni sifa ya ushujaa na kujivunia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom