Ni lazima kupost ?Sasa tupost vitu gani?
Utakua mzee wa "memes"Ni kweli lkn yanakuhusu Nini?
SeriousnessTatitizo ni nn??????????? twambie ubaya ni nn?
Mzee kuna vitu vya msingi unaweza kuviona status,,, mfano tangazo flan kutoka taasisi unayofanya ama unapoabudu inakutaka kitu fln n.k!Status haina ulazima wa kufanya ukereke ni kiherere chako kinakupelekaga uko kuangalia, tafuta kazi ya kufanya.
Hv umeelewa nilichoandika ? nAona unAmwaga upupu tu hapa! Kasome Tena andiko langu shwainBro ishi maisha yako.
Watu wenye chuki na maisha ya watu ndo kama nyie.
Mtu akipost mambo ya maendeleo yake, au mambo ya maana hamtaki kuona anafanya vizuri mtaleta nuksi,
Mtu akipost picha zake yuko sehem nzuri anakula bata mtaleta nuksi. Sasa kuwa komesha haters kama nyiee mambwa.. wacha wawapostie ujinga.. ili muwaone wajinga hawana michongo, kumbe wajinga ni nyie mnaochukia mnayo yaona.
Sasa una mind status za watu we za nini kwa mfano..? Hutaki kuona ujinga unaenda kuangaliaa za nini....? Man Up
Nilivyoona avatar cjajusumbua kukujibu! Wewe Ni mdada pengine upo miongoni mwaoWewe ndio una shida maana choice ya live style ya wengine inakusumbua. Mind your bussiness na watu ambao una number zao wa hovyo Mimi status za watu hupata mapya na ku enjoy
Boss unakuta Ni namba muhimu ambayo kwa namna moja ama nyingine inakusaidiaSi ufute namba zao kama utaki kuview status zao mkuu sio lazima
Wale wale tuKuliko ungepoteza muda kuandika huu uzwazwa bora ungepost memes kwenye status.
Mkuu WhatsApp wameweka option ya kumute wakijua kuna wasiotaka kuview.
Halafu mtu kupost chochote kwenye status hata kama ni cha kijinga kiasi gani, ni uamuzi wake kufanya hvyo. Anachopost mtu cha kijinga na kipumbavu na kishenz, what ever, haimaanishi yeye yuko hvyo. Kama unajudge mtu kwa mrengo huo you are totally wrong.
Wazee wa memes tuendelee kupost bhana. Watu tucheke, maisha yaendelee. C kila muda uwe serious tuuuu. Utakufa cku c zako.
MTOA POST ANA STRESSS
Wale wale tu

Mimi naview status zoote na napost pia. Kuna muda unatakiwa ufurahi na kucheka kidogo. Huwezi judge mtu eti kisa amepost memes labda kama ufahamu wako una tatizo kias flani. Anachopost mtu cha utani utani c kwamba et yy ni mpuuzi.Mimi Ni mzee wa kuwaperemba.Utakua mzee wa "memes"
Sasa mbona umenijibu, shida Iko kwako na sio waweka statusNilivyoona avatar cjajusumbua kukujibu! Wewe Ni mdada pengine upo miongoni mwao