Kero za status

Kero za status

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
6,156
Reaction score
15,807
Well nadhani mko poa

Kuna wataalam wa kuweka stAtus kila siku

Unakuta ni mtu mzima tu anajielewa lakini anavyovipost havina kichwa Wala miguu/haviendani nae

Kuna mabingwa wa kuweka sijui wanaita "memes" upuuzi mtupu

Kuna mabingwa wa kujaza post nyingii hadi kwenye kile ki-cirle inaoneokana vinukta nukta ,,huo mda unautoa wapi ? Hivi kuna mtu anakaa ana-view zote?

Kuna mtu anapost real-life yake status, akigombana na mwenzie tu kaweka, akienda outing kidogo tu anapost,,, Yan kila kitu anaweza hadharani, huu ni uzwazwa kiwango cha lami

Kuna mabingwa wa kupost quotes za Bible n.k kila mda kaweka hiki, utadhan anamjua Sana Mungu kumbe ukimuongalia matendo yake na yako wote watenda dhambi tu.

Hapa sijazungumzia wale wanaoandika "vizungu" feki, mtu anakoroga mpaka unasema hivi angetumia kiswahili ujumbe si ungefika tu?

Ni kero gani inaudhi status ambayo huipendi ? Unakuta mtu ni mshkaji/rafk au mnaheshimiana Sana lakini kumuambia aache ujinga unashindwa namna ya kumuanza.

Wasalaam kwa jina la Jamhuri.
 
Bro ishi maisha yako.
Watu wenye chuki na maisha ya watu ndo kama nyie.

Mtu akipost mambo ya maendeleo yake, au mambo ya maana hamtaki kuona anafanya vizuri mtaleta nuksi,

Mtu akipost picha zake yuko sehem nzuri anakula bata mtaleta nuksi. Sasa kuwa komesha haters kama nyiee mambwa.. wacha wawapostie ujinga.. ili muwaone wajinga hawana michongo, kumbe wajinga ni nyie mnaochukia mnayo yaona.

Sasa una mind status za watu we za nini kwa mfano..? Hutaki kuona ujinga unaenda kuangaliaa za nini....? Man Up
 
Well nadhan mko poa,,,,,

Kuna wataalam wa kuweka stAtus kila siku,,,,
Unakuta ni mtu mzima tu anajielewa lakini anavyovipost havina kichwa Wala miguu/haviendani nae

Kuna mabingwa wa kuweka sijui wanaita "memes" upuuzi mtupu

Kuna mabingwa wa kujaza post nyingii hadi kwenye kile ki-cirle inaoneokana vinukta nukta ,,huo mda unautoa wapi ? Hivi kuna mtu anakaa ana-view zote ?

Kuna mtu anapost real-life yake status,,,akigombana na mwenzie tu kaweka, akienda outing kidogo tu anapost,,, Yan kila kitu anaweza hadharani, huu ni uzwazwa kiwango cha lami

Kuna mabingwa wa kupost quotes za Bible n.k,,, kila mda kaweka hiki, utadhan anamjua Sana Mungu kumbe ukimuongalia matendo yake na yako wote watenda dhambi tu ,,,

Hapa sijazungumzia wale wanaoandika "vizungu" feki, mtu anakoroga mpaka unasema hivi angetumia kiswahili ujumbe si ungefika tu ?

Ni kero gani inaudhi status ambayo huipendi ? Unakuta mtu ni mshkaji/rafk au mnaheshimiana Sana lakini kumuambia aache ujinga unashindwa namna ya kumuanza!

Wasalaam kwa jina la jamhuri!
Kwani lazima uingie status ya mtu kaa vp kausha
 
Wewe ndio una shida maana choice ya live style ya wengine inakusumbua. Mind your bussiness na watu ambao una number zao wa hovyo Mimi status za watu hupata mapya na ku enjoy
 
Status haina ulazima wa kufanya ukereke ni kiherere chako kinakupelekaga uko kuangalia, tafuta kazi ya kufanya.
Na ana shida huyu mambo ya watu yanamuumizaje ka si umbeya wake
 
Kwani ni lazima uziangalie ? Tunaomba na humu JF watuwekee uwezo wa kupost status ili tukukere zaidi na huku 😆
 
Cwez kuanglia status za watu aise Kwanza napoteza mb zangu bila sababu Nina mwaka unikute naview status za watu had demu wangu akaniuliza mbna huwa c view status zake ....wkt kila siku unajiunga bando ...
 
Usipende kuwa bize Kila saa, relax maisha ni hayahaya .

Hivyo unavyoviona vya maana kwako, kwa wenzio vinaweza kuwa vya kipuuzi tu.
 
Si ufute namba zao kama utaki kuview status zao mkuu sio lazima
 
Back
Top Bottom