jisanja
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,075
- 684
Katika jiji la Dar es Salaam nadhani hili linaongoza hasa kwa wale tunaotumia usafiri huu ambao ustaarabu ni zero, unakuta mtu umesimama kituoni masaa mawili kusubiri daladala, alhamudulilah linakuja unapigana kupata siti unaingia hapo uko hoi unajilaza kwenye siti angalau upumzishe mwili na akili baada ya pilika pilika za siku nzima na uchovu wa kusubiri daladala unakuta limtu linawasha redio au anasikiliza mziki kwa simu alafu anaweka loud...
Bahati mbaya simu ni zile za ef 10 can you imagine zile kelele
unamwambia angalau apunguze kidogo yani hapo ndo unachokoza anaweza kutukana njia nzima hadi anashuka.
Kwakweli mjirekebishe wenye hio tabia, muwe wastaarab tumieni headfones.