LWENYI
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,839
- 2,175
maana yangu ni kwamba usidhani daladala nzima mwenye stress ni wewe tu, na kila mtu ana namna yake ya kujituliza sasa ukianza kumpangia abiria mwenzio cha kufanya usishangae akikuropokea kitu cha ajabu na hilo dereva halimuhusu muhimu ni kuvumiliana kwakua ndo usafiri wetu huo.Hujaelewa mkuu inawezekana madereva n wastaarab ukimwambia punguza saut atapunguza ila sio abiria vichwa maji