Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
Nimeiblock hiyo namba yao...kwa hiyo kila nkiona notification ya 'Content blocked' Sina haja ya kuifungua kwa hyo mambo ni mwemwere mwemwere
Una block vipi mkuu? maana mimi ni kero kwangu sanaNimeiblock hiyo namba yao...kwa hiyo kila nkiona notification ya 'Content blocked' Sina haja ya kuifungua kwa hyo mambo ni mwemwere mwemwere
Aisee ngoja na mi niwapigieMimi juzi niliwapigia Huduma kwa wateja na kuwauliza kulikoni kutuma tuma sms zao zisizo na maana? Wakadai,wazo langu wanalifanyia kazi. Kuanzia siku hiyo sijazipata tena. Nilimkoromea jamaa mpaka mwenyewe akaona sitanii na sitaki ujinga.
Kama mtu hataki ni hataki tu.
Wanaudhi sana hawa majamaa
Unatumia feature fone au Smartphone?? Kama ni smartfone tafuta app ya Call AppUna block vipi mkuu? maana mimi ni kero kwangu sana
Unatumia feature fone au Smartphone?? Kama ni smartfone tafuta app ya Call App au true caller..tafuta option ya call blocking and Sms filter ( Harassment filter)..nenda hapo then weka hiyo namba ya vodacom inayokutumia Message..Message zao zinakuja kimyakimya na hutakuwa ukiona notification..ukitaka kuziona hizo message zao mpaka ufungue hiyo App...Una block vipi mkuu? maana mimi ni kero kwangu sana
Unatumia feature fone au Smartphone?? Kama ni smartfone tafuta app ya Call App
Unatumia feature fone au Smartphone?? Kama ni smartfone tafuta app ya Call App au true caller..tafuta option ya call blocking and Sms filter ( Harassment filter)..nenda hapo then weka hiyo namba ya vodacom inayokutumia Message..Message zao zinakuja kimyakimya na hutakuwa ukiona notification..ukitaka kuziona hizo message zao mpaka ufungue hiyo App...
Kitambo sana nimeshasepa huko.UJUMBE MUHIMU KWA NAMBA 767xxxxxxxx: Tuma neno GO kwenda 15544 SASA na ushiriki kwenye droo ya TZS 100,000,000 LEO! Vodacom KAMATA MPUNGA!
Hiyo kitu inakera mno kila baada ya muda naona SMS imeingia unakuta ndio hiyo ya kamata mpunga hawa wabadilishe utaratibu wao hii ni kerooooo au tuhamie mitandao mingine
Pole sana mkuu. Sio wewe tu unayekerwa na hizo sms...sote zinatukera. Halafu huwa wanatuma asubuhi sana...mtu unakatiza usingizi wako unakimbia mbio mbio kufungua simu ukidhani ni ujumbe wa maana kumbe ni ujumbe wa kipuuzy na kitapeli. Wanakera sana hawa makaburu.UJUMBE MUHIMU KWA NAMBA 767xxxxxxxx: Tuma neno GO kwenda 15544 SASA na ushiriki kwenye droo ya TZS 100,000,000 LEO! Vodacom KAMATA MPUNGA!
Hiyo kitu inakera mno kila baada ya muda naona SMS imeingia unakuta ndio hiyo ya kamata mpunga hawa wabadilishe utaratibu wao hii ni kerooooo au tuhamie mitandao mingine