nashukuruUnatumia feature fone au Smartphone?? Kama ni smartfone tafuta app ya Call App
Unatumia feature fone au Smartphone?? Kama ni smartfone tafuta app ya Call App au true caller..tafuta option ya call blocking and Sms filter ( Harassment filter)..nenda hapo then weka hiyo namba ya vodacom inayokutumia Message..Message zao zinakuja kimyakimya na hutakuwa ukiona notification..ukitaka kuziona hizo message zao mpaka ufungue hiyo App...
Bora umeliongelea hivi. Atleast wangekuwa wana filter kujua wapi wanapenda au hawapendi. Ni rahisi sana. Tangu mmeanza kumtumia mtu meseji hahjawahi kucheza hata siku moja hii ni dalili hataki kucheza sasa kwa nini uendelee kutuma tu ma SMS kila kukichaaUJUMBE MUHIMU KWA NAMBA 767xxxxxxxx: Tuma neno GO kwenda 15544 SASA na ushiriki kwenye droo ya TZS 100,000,000 LEO! Vodacom KAMATA MPUNGA!
Hiyo kitu inakera mno kila baada ya muda naona SMS imeingia unakuta ndio hiyo ya kamata mpunga hawa wabadilishe utaratibu wao hii ni kerooooo au tuhamie mitandao mingine
Tuma sms '' STOP " kwenda namba 1544 kuwa blockUJUMBE MUHIMU KWA NAMBA 767xxxxxxxx: Tuma neno GO kwenda 15544 SASA na ushiriki kwenye droo ya TZS 100,000,000 LEO! Vodacom KAMATA MPUNGA!
Hiyo kitu inakera mno kila baada ya muda naona SMS imeingia unakuta ndio hiyo ya kamata mpunga hawa wabadilishe utaratibu wao hii ni kerooooo au tuhamie mitandao mingine
Ha ha haHaha wanaboa sana mie kila siku natumiwa kila kukicha.
Internet tununue
Maongezi tununue
Hawatosheki wanatulazimisha tuwape pesa zingine za bure
Ngoja nijaribu ikishindikana niivunje hii line ujinga mtupuTuma sms '' STOP " kwenda namba 1544 kuwa block