maji maji tulieni hivyo hivyo tuendelee kulinda amani yetu😁😁...mboga mboga mtajua hamjuiHii ni too much aisee hawa ng'ombe watatuua sasa
Hata Ufukuze Wizara Nzima haitasaidia, shida ni vipaumbele vya Serikali. Ni aibu mpaka leo hakuna maji wala umeme wa uhakika wakati hivi vitu ni very basic na kila mtu anatakiwa kuvipata kuanzia masikini wa mwisho mpaka Tajiri.Fukuza Mkurugenzi ,Waziri na Katibu wa Wizara.
Ningeanza na katiba mpya na serikali ya mpito yenye watu wanaostahili kwenye kila position."INGEKUWA"kama wewe ni Rais wa JMT ungechukua hatua gani kwa Mkurugenzi wa DAWASA kutopatikana kwa maji katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam?
Na hizo kodi watu wanazolipa zina Kazi gani ? ,ninyi si mnajiita nchi tajiri na hamuitaji misaada ya mabeberu au ,kwa nini watu walipe kodi Kama hamna Huduma za kijamii ? Na wewe punga na mazoba wenzako mpo humu Siku na VPN nzima kusambaza propaganda mfu za kahaba maushungi wa kizimkazi kwa mtandao uliopigwa banKuitegemea serilikali utaumia Kama mnaweza mnajikusanya kimtaa mtaa mnachimba Kisima chenu.
Hao mabeberu wanaleta misaada gani ebu acha hiyo colonial mindset.Na hizo kodi watu wanazolipa zina Kazi gani ? ,ninyi si mnajiita nchi tajiri na hamuitaji misaada ya mabeberu au ,kwa nini watu walipe kodi Kama hamna Huduma za kijamii ? Na wewe punga na mazoba wenzako mpo humu Siku na VPN nzima kusambaza propaganda mfu za kahaba maushungi wa kizimkazi kwa mtandao uliopigwa ban
Kweli kuanza upya siyo ujinga ,watakaoajiriwa upya wanapewa KPI ,wakishindwa ni kufukuza tu ,lazima wapewe target ,makampuni binafsi yanafanya vizuri kwasababu wana target/KPI ukishindwa kumeet unaondolewa.Hata Ufukuze Wizara Nzima haitasaidia, shida ni vipaumbele vya Serikali. Ni aibu mpaka leo hakuna maji wala umeme wa uhakika wakati hivi vitu ni very basic na kila mtu anatakiwa kuvipata kuanzia masikini wa mwisho mpaka Tajiri.