Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria.
Tunapokwenda kuulizia kwa kiongozi wa kituo, mara nyingi tunapokea majibu yasiyoridhisha, ikiwemo...
Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
Pamekua na magari machache ya Kimara Gerezani na Mbezi Gerezani tofauti na tunavyo aminishwa kwa picha za mabasi mtandaoni.
Hali ya usafiri ni Mbayaaaaa, Mbezi Kimara hali ya Maji ni Mbayaaaaa.
MAANDAMANO yanayofuata ni juu ya HUDUMA ZA JAMII wala sio wizi wa kura CCM
Wana Jamvi, Habarini.
Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni. Nilijibu kuwa tayari nina maombi 17 yangu mwenyewe, na hizi ni order numbers. Waliniambia andika jina...
Najiuliza hawa DDC wanapata wapi uharali wa kupima viwanja maeneo ya Mbopo, Mabwepande na Tegeta A. Nadhani sheria za ardhi zinakiukwa na naona kuna mgogoro mkubwa unakuja huko mbeleni. Wizara ya Ardhi wanatakiwa walifuatilie hili jambo kwa umakini sana
Nianze kwa kusema hivi; mwaka 2018 nilikuwa mkoani Tabora nikifanya kazi kwenye kampuni moja na ndiko nilikojiandikisha kupata NIDA. Baada ya mwaka mmoja nikarejea Dar pasipo kupata Kadi yangu, nikawa mjini kwa mda wote huo hadi 2023 niliporudi Tabora kwa masuala yangu na mara hii nilibahatika...
Jipu ni maambukizi ya bakteria kwenye ngozi yanayoonekana kama chunusi kubwa iliyojaa usaha. Huanza kama uvimbe unaoonekana kisha hujazwa usaha, pia linaweza kusababisha maumivu makali.
Kitunguu saumu kibichi kinaweza kuwa na sifa za kuua vijidudu zinazosaidia kuponya majipu na kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.