Kero ya central admission system

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hivi jamani mmekumbana na kero ya CAS kama mimi?Unaingiza taarifa zako alafu ukija kwenye profile yako hazionekani na hata ukitaka kubadilisha program uliochagua mwanzoni, system inagoma na inakurudisha nyuma nyuma kwenye page ya home/registration.Sasa haya ndio maendeleo?Wahusika naomba mlifanyie kazi jambo hili.Inatupa wakati mgumu ingawa kweli CAS ni utaratibu wa kisasa lakini unahitaji kujipanga.
 
je baada ya ku add programmes ume bofya pale chini unapo save hizo programmes? kama la lazima ikurudishe lakini kama ume save basi kuna tatizo.

Walichoniacha hoi tcu ni kuhamisha vocha zao toka crdb kwenda nbc benki ambayo haijasambaa kama nmb au crdb. pengine nakosea lakini sidhani vocha zinapatikana katika benki nyingine other than nbc
 
mkuu hiyo kauli ni ya kweli??
 
mkuu hiyo kauli ni ya kweli??

wilaya nyingi nbc wanaisikia kwenye bomba - unatoka mafinga kwa mfano usafiri hadi iringa, au mashamba ya chai mufindi au makambako - na huko wamejaaliwa kuwa na benki hizo za nbc. kama benki zote zina hizo vocha sina tatizo
 
mkuu hiyo kauli ni ya kweli??

Ni kweli kabisa mkuu, sisi tulio huku changarawe Morogoro tunalazimika kuja Moro mjini kwani hata tukienda mzumbe hawana nbc benki zaidi ya atm mashine tu, ila benki ya crdb ipo.

Ni kweli kabisa mkuu, sisi tulio huku changarawe Morogoro tunalazimika kuja Moro mjini kwani hata tukienda mzumbe hawana nbc benki zaidi ya atm mashine tu, ila benki ya crdb ipo.

To crown it all mkuu mapema nbc wanachemka - oh mara hatujapata vocha, mara vocha zimeisha tusubiri - kwa crdb mwaka jana hakikutokea kitu kama hicho. Kwa ujumla ni kausumbufu hako.
 
Back
Top Bottom