Baba yako mbaya
Member
- Jan 8, 2015
- 71
- 24
Mi wakitaka kuamini computer zao zina majibu tangu waweke mb 8 nadhani kuna kitu kwangu wamejifunza siwekagi vouchers hovyohovyo tena 0763737389 @Voda ikiwezekana mniblock hiyo line
Actually, pengine tufanye utafiti kuona kama wizi huu ni kwa baadhi ya watu tu au ni kwa kila mtu. Kama una laini ya Voda, iwekee shilingi mia tano na usiitumie toka asubuhi mpaka jioni tuone. Ikiwa hawatakata, uje hapa kuripoti.
Usisahau kuondoa "data". Kama utaona vipi, wi-fi iweke off.
Laini iweke kabisa kwenye kisimu cha tochi kama unacho.
Vodacom si wezi tu ni majambazi...... voda muwe na aibu kidogo..... mnatuibia sana...
zaidi ya mara 2 nyakati tofauti tofauti nimeweka salio kabla sijalitumia na sijakopa.... naangalia salio hamna...... watu huku mtaani wanawalalamikia sana.......hamna cha data on wala off..... acheni wizi.
Tafuta mwanasheria wapeleke mahakamani ndio mpango wangu kwa sasa bado nakusanya ushahidi kwani waliyonitenda ni mengi kuliko.Vodacom si wezi tu ni majambazi...... voda muwe na aibu kidogo..... mnatuibia sana...
zaidi ya mara 2 nyakati tofauti tofauti nimeweka salio kabla sijalitumia na sijakopa.... naangalia salio hamna...... watu huku mtaani wanawalalamikia sana.......hamna cha data on wala off..... acheni wizi.
Sina neno la kuita zaidi ya kusema huu 'wizi' sasa nimechoka nao, mara ya kwanza mlitaka kunipiga kimya sh 435,000/ nilizokuwa natupia kwny akaunti yangu ya benki kutokea simu ya mkononi line yenu ikihusika.
Baada ya kuifuatilia sana na vitisho vingi hatimae kwa aibu mkanirudishia. Mara ya pili kuna mtu alikosea namba kwny kutuma pesa ikaja kwangu sh 700,000/ nikatumia uungwana nikawapigia na mkanipa maelekezo ya kuituma kwenu, nikaituma, cha kushangaza ni yule aliyekosea kunipigia na kuomba nimrudishie, nikampa maelezo kwa kirefu kuwa nimeirudisha voda.
Huyo mdada aliendelea kunifuatilia kwa zaidi ya wiki hadi nikaamua kuacha shughuli zangu na kuja kwny ofisi zenu na huyo dada eti ndio mkamrudishia pesa yake, Mara ya tatu ni juzi nimeweka vocha ya sh elfu 5, na mtandao wa kujiunga na cheka ulikuwa unasumbua nikaachana nao nikatumia mtandao mwingine.
Sasa maajabu ya mwaka, tangu hiyo juzi cjatumia voda, hadi muda huu naandika hapa (najua mtasoma) imebaki sh 2900!
Sasa nimetoa hizo cku tisa ili mrekebishe hilo tatizo ikishindikana nitachukua maamuzi mazito ya kuipasua pasua line yenu kwa hasira kali, halafu pamoja na udogo wake naitia kiberiti, na familia yangu yote nitaipiga stop kubwa kutumia/kuonekana na line ya voda achilia mbali kuizungumzia, na kampeni hii nitaieneza kwa marafiki zangu wote waachane na hiyo kitu, sintoishia hapo, nitahamia kwa wenye maduka wa mtaani kwetu nako nitapeleka propaganda hizi, halafu mwisho cku muwe kama TTCL.
Naipenda sana Vodacom T Ltd ndio maana ckutaka kuchukua maamuzi magumu kwa haraka,basi jaribuni kurudisha mema kwenye huu upendo wangu kwenu.