Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,355
Wanaonesha free channel za Tanzania salio lako likikata?Mi sina mpango na hayo madude ya kiswahili dstv mpango mzima
Wanaonesha free channel za Tanzania salio lako likikata?Mi sina mpango na hayo madude ya kiswahili dstv mpango mzima
Nenda kwenye web ya Tcra au waandikie email uoneshe mahali ulipo,muda na station gani hupati,acha kulia mtandaoniJaman wakuu humu ndani inakuaje mamlaka ya mawasiliano imetangaza chanel 5 bure na Leo Mi nimekatiwa kisa mwezi umeisha?. Tuwekeni channel izo watu tufuraie uhuru huu
LiveeJaman wakuu humu ndani inakuaje mamlaka ya mawasiliano imetangaza chanel 5 bure na Leo Mi nimekatiwa kisa mwezi umeisha?. Tuwekeni channel izo watu tufuraie uhuru huu
Mkuu ulichokiandika umekielewa?Nyie watu wa ajabu sana. Hivi Joti anapojipodoa m naamini kabisa kuwa Mungu kafanya na kumfanya demu ?M naamini kabisa?Ama kweli hii ni nchi ya vi wonder
Hakuna cha bure hapa duniani, hao wafanyakazi wa ving'amuzi watalipwa vipi mishahara? Lipa bhana..Jaman wakuu humu ndani inakuaje mamlaka ya mawasiliano imetangaza chanel 5 bure na Leo Mi nimekatiwa kisa mwezi umeisha?. Tuwekeni channel izo watu tufuraie uhuru huu
Hata kama zitakuwepo kuna kitu gani cha maana chakuangalia.....Jaman wakuu humu ndani inakuaje mamlaka ya mawasiliano imetangaza chanel 5 bure na Leo Mi nimekatiwa kisa mwezi umeisha?. Tuwekeni channel izo watu tufuraie uhuru huu
Matangazo si yanawatosheleza,acheni tamaaSubr tukufikirie japo nasi tunawafanyakazi tutawalipa nn?
AZAM ni ya kimataifa kama DSTV au mmemzoea kwasababu anawauzia icecream mkajua ni mwenzenu.Wengine tulishashtuka kutumia ving'amuzi vya kibongo kwani mambo yao ni kibongobongoAzam haihusiki?
Nawasiwasi kama hao wakubwa huwa wanalipia! Takukuru chunguzeni kwa hao tcra kama wao hulipia vifurushi vya TV huko majumbani kwao! Kwa nini wanajifanya hawajui kama jamaa hutukatia huduma kabisa hakuna cha free to air wala nini! Dstv walikuwa wanaachia TBC tu.Mkuu sahau Hlo wamiliki wa ving'amuzi wameiweka serikal mfukon baba jeska na ukali wake wote hapo hawezi Amin mkuu
AZAM NAO NDIYO HIVYO HIVYO NCHI HII YAANI TCRA WAMEKUWA KAMA WAJINGA TU
Nyie watu wa ajabu sana. Hivi Joti anapojipodoa m naamini kabisa kuwa Mungu kafanya na kumfanya demu ?M naamini kabisa?Ama kweli hii ni nchi ya vi wonder