Nyamafu Kati ya tbc na itv .nani anaeye pendelea zaidi ?uchimbi wa itv hamuoni mnaona wa tbc? Ndorobooo
Sasa ww ulitegemea warushe habari za ukawa au chadema tambua kuwa TBC ni kituo kinachomilikiwa na serikali iliyopo madarakani na serikali iliyopo madarakan ni ya ukawa au ya chadema nauliza kwako mleta uzi? Lazima iwe ya chama kilichopo madarakani kwhyo usiumie subiri kama na ww utapata mamlaka ya chama chako kuwepo mjengoni pale mtayatekeleza yakwenu kwa xx achen tu ccm ifanye inavyotaka hupend usifungulie tbc
Televisions
Itv, channel 10 na azam tv wanajitahidi kuwa fair.
Star Tv+ TBC naona wao ni pro ccm tu, bila aibu wanapendelea, its up to them lakini his issues ni so divisive. These are public stations and not for one party.
Tunawashukuru sana social media jamii forum, openness and free thoughts.
Kuna baadhi ya magazeti yanatumia uzushu, udini, propaganda nk. It's so dangerous.
Suggestions:
Busara, ueledi, taaluma, sera na hoja vitawale. Pls. Ole wenu waandishi na mafarisayo yaonya biblia.
Otherwise mnaweza mka declare kwamba hii ni ccm media, vyombo vya habari ni mhimili muhimu katikaaendeleo vikitumika vizuri. Zingatieni taaluma acheni siasa.
Kwa Ujinga wa STAR TV eti wanaandika "watanzania wanaamua" yaan ni wajinga na wamevuka kimahaba sasa, badala waandike "WanaCCM wanaamua" foolish...
dawa ni kuvisusia hivi vyombo