Sasa ww ulitegemea warushe habari za ukawa au chadema tambua kuwa TBC ni kituo kinachomilikiwa na serikali iliyopo madarakani na serikali iliyopo madarakan ni ya ukawa au ya chadema nauliza kwako mleta uzi? Lazima iwe ya chama kilichopo madarakani kwhyo usiumie subiri kama na ww utapata mamlaka ya chama chako kuwepo mjengoni pale mtayatekeleza yakwenu kwa xx achen tu ccm ifanye inavyotaka hupend usifungulie tbc

Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa hili shirika ni la umma.Kuelekea uchaguzi mwaka huu kituo hiki cha televisheni kimekuwa kikiripoti habari kwa upendeleo wa hali ya juu yaani hata kufika mahali na kupotosha jamii ya waTz.Hivi najiuliza TBC wanadhani tuko miaka ya 70??Au wana mawazo mgandona finyu kiasi hiki??Yaani hata kuripoti habari mfano za upinzani au Lowassa ni kwa uzandiki na urapurapu(ikitokea zimeripotiwa)..Mikutano ya CCm inarushwa live na makolombwezo meeengi..Hivi mnamdanganya nani???
Mtz wa leo anajua na ndo maana anajiandikisha afanye maamuzi.Onyesheni kwa uwiano,Tz ya leo inahitaji ukweli na usawa ktk habari.
Huelewi maana ya shirika la umma ww,angalia au sikiliza BBC,VOA NDO UTAJUA.REDIO UHURU NDO YA CCM.TBC SI YA CCM NI YA UMMA.Pamoja na Daily News na Habar Leo.Kuripoti habar za CCM na upinzani kwao si HISANI ni LAZIMA waripot kwa usawa
ndugu bado unaangalia bado tbc mie kitambo sana kukaa kabisa kupoteza muda wangu kuangalia tbc,ni heri ukaipoteza kichwani
Usiwalaumu sana wana ufadhili mkubwa sana toka china na India nk kwa ajili ya kukisaidia ccm kishinde ili kulinda maslahi yao ambayo wanaona yanahatarishwa na UKAWA kama ukichukua nchi na hili si uvumi wala tetesi