Kero: Mkuyuni Morogoro vijijini hakuna umeme

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
583
Morogoro kijiji cha Mkuyuni hakuna umeme wiki mbili sasa, ni shida kwa wafanyabiashara.
 
Huko Tanesco wanajua hakuna watu zaidi ya migomba, miwa na mafenesi, hata brazamen wao mbunge hakai huko atawatetea nani??

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Huko Tanesco wanajua hakuna watu zaidi ya migomba, miwa na mafenesi, hata brazamen wao mbunge hakai huko atawatetea nani??

Everyday is Saturday............................... :cool:
Nasikia hata Katibu wa Mbunge anaishi Dar
 
Back
Top Bottom