Kero:Magari makubwa barabara ndogo

Kero:Magari makubwa barabara ndogo

Majoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
612
Reaction score
189
Nimeikuta hii mitaa ya Mikocheni, Mtaa wa Sam Nujaoma(karibu na kiwanda cha Coca cola).
Gari kubwa lilosheheni zigo la kutosha, badala ya kuongoza zake Morogoro rodi aende zake Zambia au Malawi , dereva kaamua kukata mitaa.
Matokeo gari limeshindwa kukata kona na kuzimika, hatimaye kuziba barabara.
Nimekaa hapo lakini ri-afwande Arufonsi wara harikutokea. CIMG0041.JPGCIMG0045.JPG
 
Majoja huyu constable Alfonce kakukosea nini ? mbona unataka kumchafulia CV,juzi ulidai ulimpooza baada ya kukukamata ukipiga picha karibu na Ikulu leo unadai kachelewa kufika eneo la tukia.Hapa ni wilaya ya Kinondoni na Ikulu ipo wilaya ya Ilala kwahiyo constable Alfonce hawezi kuwa maeneo yote.
 
We Uporoto01 kwani wewe ni risemaji ra Arufonsi.
Mimi niriribipu rikaniambia rina simamia musafara wa riongozi kuelee mujini!!!
 
Back
Top Bottom