[emoji28][emoji28],aisee inatia hasira balaa maana hapo ni kama umeenda kuongezewa gharamaHiyo namba moja nilitaka kumnasa dogo mmoja vibao, ila alikua humble nikatulia tuu.
Aliitwa kuja kutoa bolt imekatikia sehemu ya kufungia compressor...
Hao ni balaa,akikuona unakuja ndio anaitoa nguo huko kwenye kikapu anajifanya yuko bize nayo[emoji3]Niko hapa nimemsimamia fundi nguo anishonee nguo yangu modo ili nipate nguo ya kutokea kesho knipga sana kalenda nguo ina siku ya 3 sasa[emoji16][emoji16][emoji1]
Ya kugongea injini ya BMW yako 😂😂Fundi gari nyundo ya nini
daktari wa meno pliers(koleo) ya niniFundi gari nyundo ya nini
Basi tuvumilie mafundiPesa ndio shida