Kero katika saluni za kiume

Nyinine ni kukupigisha story
Kuwa na customer care mbovu
 
Kwa taaarifa yako wenye tabia hiyo ni hizo hizo saloon kubwa ndizo zenye vijana wanaijiona, wanaojisikia, wenye tabia ya kujifanya kuwa wanaweza nyoa Kwa kutumia mkono mmoja hizo za 1000 Simu ikiiita hawapokei Kwanzaa ni waoga Kwa wateja
Fact mkuu,unakuta mtu ananyoa huku anaongea kwenye simu,au ana pause anasoma msg afu anaanza kuchekaaaa...ndo anaendelea
 
Nunua mashine yako mkuu kuondokana na kero
 
Wale warembo wa bitebo ni wazima kweli?

Ngozi zao zinanipa mashaka makubwa
 
Saluni nyingi classic na zenye bei za juu unakuta vinyozi si wazoefu... Nilishaingia saluni moja morogoro nikanyolewa kibwenzi si cha nchi hii.

Mi nanyoa tu saluni za kawaida uswahilini. Nanyolewa vizuri mno tofauti na haya ma- Barbershop viti vizuri na mbwembwe nyingi lakini hamna kitu.
 
Salon sio kiswahili jamani, tutumie neno la kiswahili-Chegani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chegani duh...! Maneno ya kiswahili huwa yanabuniwa vipi,? Yana sound vibaya!
 
Unaweza ukamkuta jamaa ambaye unatetesi ana ngoma au muasherati kupindukia halafu akitoka kunyolewa yeye unafuata wewe

Mimi hua natokaga nduki
 
Juzi ilinitoka elfu kumi na tano kunyoa dongo bapoja na scrub roho iliniuma sana
 
Jiweni tu toka asili salon ni kijiwe na tena wengine ndio sehemu za ushquri nasaha kwa matatizonyote iwe ya ndoa au ya kawaida kimaisha .
Huduma hii sasa iko pub na kwenye mabar ati watu wanashauriana over a bpttle of beer tena wameshafikisha bia ya kumi ndio wanaombana ushauri sasa wakitoka hapo kwenda kutekeleza ushauri wa kilevi ndio majanga!
Kwa wenzetu wa kike wao salon ni sehemu ya kupeana ubuyu tu na mmiliki wa salon huwa ndie mshauri wao mkuu japo hakuna jitu chonganishi nafiki ongo kama dada la salon mkeo akijichanganya nae bas jua utaacha mke au utagongewa tu maana kwa ukuwadi wa wake za watu hawajambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…