Gentleman P
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 370
- 454
mkuu hili jukwaa lina linguistic professionals pia...hebu nikuulize tu; naomba tofauti ya barbershop na salonWewe bado unaenda Salon, siku hizi kuna Babershops unahudumiwa na professionals mpaka zile huduma ukihitaji unapatiwa
Salon ni premise amabayo mtaalam wa urembo na mitindo mbali mbali ya nywele na urembo hufanyia shughuli yakemkuu hili jukwaa lina linguistic professionals pia...hebu nikuulize tu; naomba tofauti ya barbershop na salon
Hili la watu kujaa ndani na hawana issue ya msingi hata mi hua naondoka fasta.Nikienda salon nikikuta kuna kundi la watu ndani, naondoka
Nikienda salon nikimkuta kinyozi kanyoa na kuvaa kihuni naondoka..
kuna tofauti gani ya 1:UREMBO/MITINDO YA NYWELE na 2:KUNYOA (kufanya mitindo ya nywele)Salon ni premise amabayo mtaalam wa urembo na mitindo mbali mbali ya nywele na urembo hufanyia shughuli yake
Babershop ni premise ambayo shughuli zoote za kunyoa na kufanya mitindo mbali mbali ya nywele na ndevu pamoja na kupamba wanaume hufanyika.
Mkuu with all due respect naomba tuishie hapa, kama bibi harusi anaweza pambwa babershop nijibu kama haiwezekani nikaushie usijibukuna tofauti gani ya 1:UREMBO/MITINDO YA NYWELE na 2:KUNYOA (kufanya mitindo ya nywele)
Hizo za hadhi vinyozi ni robot au binadamuPole sana mkuu.... tafuta sloon za hadhi yako hizo za uswahilini achana nazo...kama unatimia bei ya 1000 kunyoa lazima upate usumbufu huo
Taboola eti mwisiani?!poleni sisi wengine bado tunanyoa chini ya mti