Kero katika saluni za kiume

Daaah we kijana leo umetoa article poa sana kwani tabia #4 me niliwahi kupigwa na Short aisee Shavuni ila niliambuli kunyolewa bure na Pole, Sasa sijui ningezimia ingekuwaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huwa nna kinyoz mmoja tu anayekiweza hiki kichwa, nikifika anajua nnachotaka,, ila namkazia siku mojamoja kuwa hayo matimberland uyapunguze kidooogo,, nitokee kama mnyama fally ipupa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
unajua sie wengine ni kama wateja permanent,, kwa hiyo baada ya mishemishe za hapa na pale,, jion jion tunaibuka babershop kutia story mbili tatu,, na tunakaa kwa nje kuna kasofaa flan ivi, ila wale wanao kaa ndani kutia story wanakosea sana
 
Mara Anakadamiza Sana Mashine Kwenye Paji La Uso Anakochonga Nywele Baada Ya Muda Mistari Ya Mashine Huonekana Uliumizwa. Mara Anakata Ndevu Kwa Uchungu, Mara Haoshi Mashine Kwa Spiriti Baada Ya Kumaliza Kunyoa
mkuu hapo kwenye moshi ni chai bwanaa[emoji23]
 
Mara Anakadamiza Sana Mashine Kwenye Paji La Uso Anakochonga Nywele Baada Ya Muda Mistari Ya Mashine Huonekana Uliumizwa. Mara Anakata Ndevu Kwa Uchungu, Mara Haoshi Mashine Kwa Spiriti Baada Ya Kumaliza Kunyoa
 
Mara Anakadamiza Sana Mashine Kwenye Paji La Uso Anakochonga Nywele Baada Ya Muda Mistari Ya Mashine Huonekana Uliumizwa. Mara Anakata Ndevu Kwa Uchungu, Mara Haoshi Mashine Kwa Spiriti Baada Ya Kumaliza Kunyoa
 
Akiona machine haikati anatest kwenye mkono wake halafu anakunyolea wewe
 
Hela ni zakom ya nini unajisumbua? Ukina kinyozi haeleweki mgombeze ataacha.
 
Me napenda pale tunapopiga mastory yetu ya kiume huku nanyoa nakua naburudika haswaaaa akiingia mwanamke tu story zinabadilika ghafla
 
Wewe bado unaenda Salon, siku hizi kuna Babershops unahudumiwa na professionals mpaka zile huduma ukihitaji unapatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…