Shoul we start giving tips (bakshish) Oh forget it watadhani ni hongo. Lakini mtu akinipa service nzuri huwa namueleza kuwa nimefurahia huduma yako. Huwa wanauliza kuwa wewe hukai hapa nadhani unakaa nje. Swali ni je na sisi tunachangia kwa kutoeleza tunapofurahishwa?
All in all sijui hizo shule za management na administration huwa wanafundisha nini. Niliwahi kuchukua kozi moja ya jinsi ya kuendesha shirika, kulikuwa na topic ya customer service. Haya watu wa kitivo cha Biashara na watu wa Mzumbe, IFM etc, hamuwatayarishi hawa vijana?