Kuna wakati Watanzania tubadilike, kuna mambo kibao ya kukukinaisha na yakuwekea nguvu kuyatatua likiwemo mafisadi wahujumu uchumi, ajira, mishahara ya walimu, kero za hudama za jamii sio kuleta upuuzi kama huu.
Nini shida hasa kuangalia anacho-ripot Marato? Kila mtu ana identity yake, hatuwezi kufanana kwa kila jambo, anakukela basi badili chaneli, na wengine wote hapa wafuata mkumboo, mbona mnadandia uzi huu kuendelea kumsema Marato?
Tubadilike tuleteni vitu vipya vya mustakabali wa Taifa letu,