KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Happy NY, na karibu uokoe jahazi letu la dini kule.
dahhh
karibu tena dada Judith..
I have to say Merry Xmass & happy new year.
dada judith umenena vema nami nakutakia heri ya mwaka mpya. point of correction: WHAT IF YOUR BODY BELONGS TO ME (ANY ADAM) AND YOUR HEART BELONGS TO GOD?
Happy new year dd J, like u.
Thank u
Happy NY, na karibu uokoe jahazi letu la dini kule.
Nice msg! Umenikonga sana miss J,kuona nimfuatiliaji wa visa vya bible! Now dayz watu wengi tumetekwa na mambo ya ulimwengu mpaka tunasahau kufungua vitabu vyetu vitakatifu kuona vinatuonya nini! Thanks nd be BLESSD CCTA! Happy New year!
happy new year miss Judith................. i love you all.........................you, jamimah, keziah and keren-happuch (bin job and bin JF)...................
MJ,
Heri na fanaka kwa mwaka 2012.
Asante kwa kutujuza kuhusu jina la Kerren, binafsi nilishausoma huo mstari but I never noticed the name.
Nikukosoe kidogo, uchambuzi wako unaongelea tusiache kuombea adui (huu ni mstari tofauti, kama sikosei kwenye mathayo, kuwa tuwaombee adui zetu na wanaotuudhi kwa maana kwa kufanya hivyo tunawapalia makaa). Ayubu aliombea marafiki. Kwa hilo tunakumbushwa kuombea both adui na rafiki, asante kwa combination. Niliwahi kumsikia mtu akisema kuombea wengine ni kama kuweka deposit bank. Na kwa kuombea wengine ni kama unamstua Mungu akuone na wewe.
Kila ndoto yako, ambayo Mungu anaona inakufaa akupatie kwa wakati, si kwa kuchelewa wala kwa kuwahi.
kumbe mtarajiwa! iam sorry,i mean itvip wedding yako ilishafanyika Miss Judith
hAPPY NW YEAR
afadhali ikaribie mpendwa, manake haya mambo yana matatizo yake.kila la kheri dada ila usitusahau kwenye kupiga ubwabwabado mpendwa, ila imekaribia sana. tuendelee kumuomba Mungu afanikishe
asante na heri ya mwaka mpya!
bado mpendwa, ila imekaribia sana. tuendelee kumuomba Mungu afanikishe
asante na heri ya mwaka mpya!
Heri zangu za mwaka mpya ziwe nawe Lokissa japo nyie huko bado hamjasherekea!!! Happy New Year again broda....
afadhali ikaribie mpendwa, manake haya mambo yana matatizo yake.kila la kheri dada ila usitusahau kwenye kupiga ubwabwa
Happy new year! asante kwa meseji nzr and Karibu tena TZ!
Asante sana Mpendwa Miss Judith. Nimefurahi kukuona baada ya muda mrefu. Asante kwa kunikumbuka nami katika mwaka mpya... Nakutakie nawe heri katika mwaka huu mpya! Bwana akuafanikishe katika yale umepanga.
Ubarikiwe sana.
kweli nilipotea lakini ni mzima kabisa. mipangilio tu ya majukumu yangu ndo imebadilika kidogo lakini bado tuko pamoja na natumaini mwaka huu utatuweka pamoja zaidi.
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God
Miss Judith... Please make sure you keep your Promise. We missed you.
Do take care. Pamoja Saaana.
mpendwa AshaDii,
wasiwasi ondoa kabisa. naamini kuwa kwa neema ya Mungu nitayaweza yote na mwaka huu utakuwa wenye heri na mafanikio zadi na utatuweka pamoja zaidi. nimefurahi kuona kuna watu wananimiss. imenitia moyo sana. tuendelee kumuomba Mungu aturuzukuye kila kitu kwa ukarimu
ubarikiwe sana mpendwa
glory to God!
Ngoja nikupe update kidogo:
Nitarudi kwa mengine.....
- Inabidi Klorokwini na Husninyo alipie maneno yako maana anaya nukuu mno. (barikiwe sana m/wapendwa)
- Paka Jimmy kakumiss ile mbaya.... Itabidi umtafute.
- Nilisikia rumors kua umeangukia penzi la Maxence Melo (ni kweli?) lol
- Kulikua na Gazeti la udaku... Linadai kua Keren_Happuch alikuibia bibilia mkampeleka kwenye maombi....
mpendwa king'asti,
asante sana kwa maombi yako na mchango wako. mimi mzima kabisa na namshukuru Mungu kuwa nimeingia mwaka huu ulio na baraka tele.
nakushukuru sana kwa kuongezea kitu hapo mpendwa. mstari unaouzungumzia wa Mathayo ni Mat 5:43-48. unajua, nilisahau kuweka note Muhimu sana kuhusu wale rafiki zake ayubu na hii post yako ndiyo iliyonikumbusha na tayari nimeisha-edit kwenye post ya kwanza. nasema tena asante sana na ubarikiwe sana kwa hilo mpendwa.
ukiangalia nilivyoedit pale juu ni kwamba ni kweli wale walikuwa marafiki na si maadui zake, ila hawa marafiki zake waligeuka mara kuwa kama adui zake kwani mara tu walipomuona ayubu na machungu yake waligeuka kuwa washitaki wake na watu wa kumuudhi na kumzidishia machungu yake badala ya wafariji wake (angalia majibizano kati yao na Ayubu kati ya sura ya 4-25). walikuwa wakimshitaki na kumshutumu kwa kile walichoamini kuwa ni "maovu ya siri ya Ayubu" na kwamba kwa mapigo yale, anavuna alichopanda au tuseme anakula jeuri yake, ndo maana nikasema vile kuwa aliwaombea "adui" zake! ila kwa kweli walikuwa ni marafiki waliogeuka washitaki wake na watu wenye kumuudhi na kumzidishia machungu yake badala ya kumfariji!
ila katika majibizano yale, kuna hekima kubwa sana kutoka kwa kijana Elihu ambaye aliwasikiliza kwa muda mrefu bila kusema neno na mwisho akawataka wote (ayubu na marafiki zake) watubu kwani walikuwa wakinena kwa upumbavu. na mwishoni kabisa Mungu mwenyewe akaingilia kati na kukubaliana na helima ya Elihu na kuwakemea ayubu na marafiki zake na kwaagiza kutubu. ayubu aliagizwa atubu kwa Mungu na marafiki zake waliambiwa watubu kwa Mungu na kisha watoe dhabihu na ayubu waombee. jitahidi mpendwa upate muda usome toba ya ayubu katika 42:1-6, ni maneno yanayogusa sana moyo
nisikuchoshe mpendwa
Mungu akubariki sana na heri ya mwaka mpya 2012!
Glory to God!