vita vya ukuu kanda maalum maana mzee wangu sele mwezi wa nane anatundika daluga...
RPC wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...Wambura ndo anakuja kuwa RPC Kinondoni ...kazi ipo..
Kawakamata machangudoa wakati hakuna sheria ya kuzuia uchangudoa, kwi! kwi! kwi!
Yetu macho jamani.
Wambura yupi mkuu?nenda oysterbay jtatu kama utamkuta ..wambura kishakabidhiwa ofisi jana na leo handover inaendelea...source mwanangu mishemishe wa oysterbay
Wambura yupi mkuu?
Oooooh! Jembe anatemwa inabaki nini sasa?
RPC wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...Wambura ndo anakuja kuwa RPC Kinondoni ...kazi ipo..