Kenyela atolewa u RPC

Kenyela atolewa u RPC

Hii ndo Tanzania bhana, ukweli na uwazi katika utendaji mwiko!!!!
 
Usikurupuke Bro...!
Jipange kwa cheo alichonacho sasa wakimpa U Rpc n kama
wanamdharirisha.....tena kinondoni Hivi unajua wazifa ambao kapewa sasa
hivi...Acheni Majungu nyie Raia

mkuu we ndo umekurupuka kwa kawaida polisi wanaweza kumpandisha cheo mtu makusudi kwa malengo ya kumtoa kwenye nafasi yake na hii imeshawatokea makamanda waandamizi wengi tu.
 
Fitina za kijicho Kova hizo maana Kenyela alikuwa anamfunika Kova kiutendaji.
 
Ki ukweli kamanda Charles Kenyela anamfunika kiutendaji Suleiman Kova,anastahili kanda maalum ya dar
 
Ni kwanini hapo Dar makamanda tunaowaona kwenye tv ni wawili?Kinondoni na Kanda maalum.Wengine wa Temeke na Ilala wapo wapi au huko kwao hakuna uhalifu sana?
 
Mtumishi wa serikali anaweza kuhamishiwa mahali po pote wakati wo wote. Siyo lazima awe ametenda kosa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums


Hajaua tu huyu. Maana Policcm akiua cheo kinapanda mara moja. kama sio suala la kuua basi kashindwa kuunda Movie kama zile za kova.
 
Kenyela sio mtu wa ndio mzee! Nilijua tu watamtosa!
Akina Kenyela ni damu mpya ndani ya jeshi ambazo hazijui zama za chama kushika hatamu hivyo hawezi kuwapigia magoti!
 
Kawakamata machangudoa wakati hakuna sheria ya kuzuia uchangudoa, kwi! kwi! kwi!
 
Kwa taarfa za ndani ni kwamba KOVA Anastaafu soon ndan ya 2month hivyo Chaz kenyela anaenda kluchukua nafasi ya Kova
 
Kwa taarfa za ndani ni kwamba KOVA Anastaafu soon ndan ya 2month hivyo Chaz kenyela anaenda kluchukua nafasi ya Kova ..si demotion ts a kind v promotion​
 
Mtumishi wa serikali anaweza kuhamishiwa mahali po pote wakati wo wote. Siyo lazima awe ametenda kosa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Sawa lakini kila uhamisho unasababu. Ndio tunajiuliza, kama ni kwelikahamishwa kwenda HQ, je sababu ni ipi kwa maana kwa wakati huu, mkoa huu aliumudu!
 
anachukua nafas ya kova cz kova anastafu soon so ni shavu kapewa na anastahili
 
acha uongo

nenda oysterbay jtatu kama utamkuta ..wambura kishakabidhiwa ofisi jana na leo handover inaendelea...source mwanangu mishemishe wa oysterbay
 
Back
Top Bottom