Kenyela atolewa u RPC

Kenyela atolewa u RPC

Rpc wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...wambura ndo anakuja kuwa rpc kinondoni ...kazi ipo..

Kosa kubwa alilofanya kuruhusu mikutano ya CHADEMA ya Hazara pale Sinza japo aliagizwa apige marufuku na kuchukua hatua kali kwa watakao kaidi. Wenye kumbukumbu nzuri kumbuka walichokipata CHADEMA pale Iringa fananisha na hapa Dar hasa Kinondoni na vitu kama hivi ndo vimemfanya Kikwete ampandishe cheo Kamuhanda
 
yaani kati ya makamanda wote jamaa anapiga kazi..na anaonekana ni msomi ...lakini hii serekali ndo haitaki watu kama hawa...

vita vya ukuu kanda maalum maana mzee wangu sele mwezi wa nane anatundika daluga...
 
Source plz!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

source ni mke wangu anafanya kazi makao ya polisi na ndiye aliyechapisha bafua ya kuhamishwa kenyela
 
vita vya ukuu kanda maalum maana mzee wangu sele mwezi wa nane anatundika daluga...
mkuu kigogo itakuwa kweli...mana jamaa yupo njema kiutendaji na hata shule inaonekana ipo sasa labda wanaona atachukua nafasi...
 
Siamini kama ni kweli, na hii kama ni kweli basi magamba yamepoteza dira! kwa mtazamo wa kawaida kabisa huyu jamaa alikuwa mchapa kazi labda kama ni kwa sababu za ki intelijensia ila wanakera sijui vipaumbele vyao ni nini, hivi ni wananchi kweli?
 
[SIZE=4]Kosa lake ameharibu biashara ya madanguro ambayo wenyewe alikuwa wanapata mshiko/mgao kila mwezi. Hivi watu hamshangai madunguro ya kinondoni na m'nyamala yalivyokuwa open lakini miaka yote yalikuwa yana-operate bila bughudha yoyote. Wenyewe wamechukia sana.[/SIZE]
 
yaani kati ya makamanda wote jamaa anapiga kazi..na anaonekana ni msomi ...lakini hii serekali ndo haitaki watu kama hawa...
Mimi binafsi nimefurahi maana ameachia sana askari wake kula rushwa.Mfano. kituo cha polisi mbezi: ukiwekwa mahabusu hupati dhamana hadi siku nne ili rushwa ya dhamana iwe kubwa.Cjui ni baada ya kuja ocs mpya pako hovyo sana, na askari hushirikiana na raia kubambikia kesi
 
Rpc wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...wambura ndo anakuja kuwa rpc kinondoni ...kazi ipo..

Usikurupuke Bro...! Jipange kwa cheo alichonacho sasa wakimpa U Rpc n kama wanamdharirisha.....tena kinondoni Hivi unajua wazifa ambao kapewa sasa hivi...Acheni Majungu nyie Raia
 
Kenyela wa kinondoni? itabidi aseme hHalima Mdee na Mnyika wameshindaje. Kenyela amekosesha watu ajira, wale walio kuwa wanajiuuza Coco Beach na Tx Makaburini.
Kenyela hapokei rushwa, wauza madawa ya kulevya wameipata sawasawa. Kenyela jembe kakamata wanafunzi wa chuo wanao jiuza na kuiaibisha serikali kwamba wanafunzi wa Tanzania wanajiuza ili wasome. mia
 
source ni mke wangu anafanya kazi makao ya polisi na ndiye aliyechapisha bafua ya kuhamishwa kenyela

mambo ya ofisi anayaleta kitandani,mwambie na yeye jumatatu afutee barua ya kufutwa kazi kwa kuvujisha taarifa za kiofisi
 
Usikurupuke Bro...! Jipange kwa cheo alichonacho sasa wakimpa U Rpc n kama wanamdharirisha.....tena kinondoni Hivi unajua wazifa ambao kapewa sasa hivi...Acheni Majungu nyie Raia

Kwani wewe sio raia? Au ndio nyie raia wakakamavu mnajiona makamanda?
 
Back
Top Bottom