Kenyatta anaichana live Tanzania now cheki Citizen

Anasema ni siasa za upuuzi nchi nyingine kusema kuwa wanaachwa kwenye ujenzi wa reli na kasema mbona wanapangankuunganisha reli kutoka Nairobi hadi Arusha na Moshi. Amesema yeye hawezi kufuatilia siasa za kipuuzo kwani kazi yake ni kuunganisha maendeleo ya Afrika Mashariki.

mimi nimeangalia hiyo speach yote hakuna mahali amesema ni upuuzi kama ulivyosema hapo juu,alichosema ni rumors tu kwamba kenya ina nia ya kutenga nchi nyingine na ameenda mbali na kusema kutakua na uzinduzi wa kuunganisha reli hiyo kutoka voa hadi moshi!!!hii naona ame desa hotuba ya jk pale bungeni!!!
 
Duuh nimesikia BBC tena,yaani katutukana haswa watanzania,ila ana point kila kitu kina mwanzo hivyo wao wameanza wengine wafuate.Tatizo tanzania blah blah tuu utekelezaji zero kabisa,kazi yetu mikutano,safari,semina,warsha,na vitu vinaishia ktk feasibility studies
 
mimi nimeangalia hiyo speach yote hakuna mahali amesema ni upuuzi kama ulivyosema hapo juu,alichosema ni rumors tu kwamba kenya ina nia ya kutenga nchi nyingine na ameenda mbali na kusema kutakua na uzinduzi wa kuunganisha reli hiyo kutoka voa hadi moshi!!!hii naona ame desa hotuba ya jk pale bungeni!!!
kama hujasikia, wewe ni kiziwi tafuta clip BBC swahili
 
mimi nimeangalia hiyo speach yote hakuna mahali amesema ni upuuzi kama ulivyosema hapo juu,alichosema ni rumors tu kwamba kenya ina nia ya kutenga nchi nyingine na ameenda mbali na kusema kutakua na uzinduzi wa kuunganisha reli hiyo kutoka voa hadi moshi!!!hii naona ame desa hotuba ya jk pale bungeni!!!

BBC wameweka sauti yake Uhuru Kenyatta, ni kweli ametumia neno UPUUZI.
Sijui Kwanini unapotosha hotuba yake!!. Humtendei haki, yule ni mkuu wa nchi, amesema akijua anachosema.
 
kenya inakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula wakati sisi wakulima wetu huko songea,rukwa na sumbawanga wanatafuta sehemu ya kuuzia chakula hawa jamaa kuwakomesha ni kupandisha ushuru wa chakula toka nje ingawa upande mwingine ni makosa yetu sisi wenyewe kila kitu bagamoyo kwanza
 
Acha uongo wewe,kuna music tu mida hii

yaah wewe hata hesabu za kujumlisha na kutoa huwezi? angalia muda mada imewekwa hewani kabla hujakurupuka. hata mheshimiwa wetu hawezi kuhutubia masaa mawili. hizi ni akili za kuzaliwa huzipati popote.
 
Ila jamani twende mbele turudi nyuma, watz tunapenda sana siasa ambazo kazi yake ni kutawala ni si kutenda kwani hata tushabikie siasa vipi kama hatutawa-support watendaji kwa kuja na idea mpya nchi haitaendelea kwani mwanasiasa ni mtawala leo atagombea na kesho ataondoka but mtendaji wa serikali yeye atakuwepo mpaka atakapostaafu. Wewe angalia magazeti yetu ukurasa wa mbele ni nani kafanya hivi nani kafanya vile na mara nyingi ni vitu vya nyuma tu.
 
yaah wewe hata hesabu za kujumlisha na kutoa huwezi? angalia muda mada imewekwa hewani kabla hujakurupuka. hata mheshimiwa wetu hawezi kuhutubia masaa mawili. hizi ni akili za kuzaliwa huzipati popote.

Baelezee alafu hajui kwamba muda wa JF upo nyuma kwa saa moja yaani wakati unaandika kama ni saa moja jioni itaandika saa 2
 
Huyo anatapatapa tu walijua tz itastuka namikakati yao bt amekaa nakutambua sisi ni nchi muhim kwaukanda huu
 
Kwa Wale Intellectuals Wote Tunamuunga Mkono Uhuru Kenyatta na Kwa Wale ------ Lazima Watamchukia Uhuru Kenyatta. Ni Watanzania Wachache sana Wenye Uwezo wa Kupembua na Kupambanua Masuala na Mambo Mbalimbali. Hebu Tubadilike na Tufanye Walk the Walk badala Ya Talk the Talk Kwani Wenzetu Wanatuacha na Mnaoidharau Kenya Leo Hebu Fanyeni Utafiti Mdogo tu ktk Maduka Yetu Mengi Bidhaa Nyingi ni za Nchi Gani Kama Si Kenya? Sisi Tuna Export Nini Kenya Zaidi tu Ya Majungu na Umbea Usio na Tija? Nani Asiyejua Kuwa Kenya ni East Africa Economic Power House? Kama Mwenzako Ameshakushinda Kwa Uchumi Je Utashindana Nae Kwa Lipi Tena? Hebu Tuacheni Utani na Lazima Mzee Wetu Mheshimiwa Rais Aambiwe Ukweli na Wanaomzunguka Kuwa Asiwe Mwepesi Sana Kujibu Hoja Kiurahisi Kwa Maswali Magumu na Kukurupuka bila Kufanya Situation Analysis ni Hatari Mno Haswa Kwa Head of State Kama Yeye na Nina Amini Kuwa Watu Wake wa Diplomasia Wanamwangusha au Wanamwogopa au Na Yeye ni Mgumu Kushaurika. Tuache Uswahili Tunawahitaji Sana Kenya Kuliko Sisi Wanavyotuhitaji na Wametuacha Kwa Mbali Sana na Hili Halipingiki.
 
mimi nimeangalia hiyo speach yote hakuna mahali amesema ni upuuzi kama ulivyosema hapo juu,alichosema ni rumors tu kwamba kenya ina nia ya kutenga nchi nyingine na ameenda mbali na kusema kutakua na uzinduzi wa kuunganisha reli hiyo kutoka voa hadi moshi!!!hii naona ame desa hotuba ya jk pale bungeni!!!

Acha ubishi mangi, maneno yametamkwa hayo!!
 
nadhani tatizo itakua ni lugha

Lugha wala sio tatizo. VOA wameachia sauti yake vizuri. Nasisitiza tena, huyu Kenyatta anajua anachokisema... Kwani neno upuuzi amelisema mara mbili, kwanza alianza kwa kusema yeye hapendi kuzungumzia mambo ya KIPUUZI,... kisha akaendelea na kusema wale wanaosema kuna wengine wanatengwa huo ni UPUUZI.
 
Jamani mzee wa TOT aliwaita hawa jamaa kuwa ni marais wa ajabuajabu,so kusema upuuz sidhan kama kuna tatizo
 
Hiyo EAC itajengwa bila kushirikisha wenye nchi ambao ndiyo mnataka kuwaendeleza au ni utashi wa biashara?kama ni biashara kenya siyo mmbiya mzuri wa biashara kwani mara kadhaa imekwisha wakatia wenzake access na kuna wakati huyo huyo museveni alifikiria kuachana kabisa na kenya.Umoja wowote ule unapaswa kujengwa kwa kuaminiana na wote kuwa na dira na muelekeo mmoja na siyo mwanachama mmoja kujifanya kuwa yeye ndiye kiongozi na wengine wafuate nyayo.
Mkuu,it looks like we were barking at a wrong tree all along!! Wafanya biashara ndio wanampa kiburi/kichwa Kenyatta.
 
Uhuru amesikitika nchi kuchukua zaidi ya miaka 50 kujenga reli. Amepa hakuna kurudi nyuma. Jamaa is determined kuona reli infanikiwa.
 
Back
Top Bottom