Kenyata hospital wauza nyeti za marehemu

Kenyata hospital wauza nyeti za marehemu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,777
Reaction score
37,970
Katika zoezi linalashiria mwisho wa dunia sasa
wananchi wa kenya waliofiwa wamekusanyika majuzi na jana hosp ya
kenyata kuangalia kama marehemu zao wanazikwa na nyeti zao..zoezi hili
lilianza baada ya vijana 4 kukamatwa wakiwa na nyeti za binadamu katika kubanwa
walitaja maofisa wanaoshugulika na maiti kenyata hosp na hivyo kufanya
zoezi zima kuamsha watu kumbe yawezekana marehemu zetu wanazikwa bila nyeti zao

akiulizwa mmoja waliokuja kuchukua mwili alisema aisee bana imenishtua nimekuja kuangalia kama marehemu wangu anaenda nazo mbinguni, watu wabaya sana we acha

mwingine akasema kwa kweli inawezekana wengi sana tumezika bila nyeti zao tukijua wameenda nazo mbinguni kumbe zimebaki dunian alisikika mmoja wao...mwingine akauliza hivi huko wakiulizwa wameziacha wapi wanasemaje??

Muhimbili jamani huu mchezo nje nje mkiwa mnatoa maiti zenu angalien nyeti zao jamani
 
Back
Top Bottom