Kenyan & Tanzanian Surburbs

Arushaa hiyoo. Mnara wa Azimio la Arusha upande wa kushoto....

arusha.jpg
 
tumechemsha
miji ya Kenya kwaweli imepangika..

umeona eh! Matokeo ya kuwepo na well developed middle class ambao ndio wamiliki/wapangaji wakuu wa hizi well planned apartments.Tz tutakodi vyumba manzese,magomeni ,sijui kwa mfuga mbwa hadi tukome.
 
kuna point moja muhimu sana ndugu zangu, msisahau pirates katika bahari ya Hindi ambao pia ni wasomalia wanaishi Kenya na mamilion ya dollars wanayo yapata kwakazi hio yanakwenda Kenya kununua na kujenga majumba ya kifahari kama hayo.
 
kuna point moja muhimu sana ndugu zangu, msisahau pirates katika bahari ya Hindi ambao pia ni wasomalia wanaishi Kenya na mamilion ya dollars wanayo yapata kwakazi hio yanakwenda Kenya kununua na kujenga majumba ya kifahari kama hayo.

Wacha porojo, post picha
Mwenzangu wafahamu bei ya nyumba ama kama kawaida ni porojo tu? Nilihamia Kenya 2007 na estate hizi na za enzi hizo na wanajenga kweli kweli! Bado hawajaweka zile za kifahari! Investment ya majumba wanayofanya ni ya billions of dollars sio millions. Wengi Mnalia Kibera usiku na mchana lakini planned settlements Tanzania hamna!
 
Penye ukweli uongo hujitenga, kweli Kenya mmeonyesha njia. Nafikiri ni vyema mwa muungwana kukubali na kuona la kujifunza, kwangu mimi natamani kujua ni jinsi gani system inayoambiwa most corrupt kuweza kufanya kazi namna hii. Nafikiri hizi tathmini nyingine za wamagharibi si za kweli, huwezi ukawa na system corrupt na bado ika deliver kiasi hiki.
Haya ni mambo mazuri ya kujifunza ni kwa jinsi gani wenzetu wameweza, si vibaya kupeleka wataalam wetu kwenda kuona na kujifunza wenzetu wanavyoendesha mambo mpaka wakafanikiwa kiasi hiki.
 
kunaa bias sanaa kwenyee hizi pichaaa,ukichekii pichaa za kenyaaa nyingi zimepigwa sehemu kwenye makaziii boraaaa,hata nairobii kunaa mitaa mibayaaa,kama konaa mbayaaa...pichaa nyingi za tanzania azija chukuliwaa kwenye best location.sithani kamaa alie pigaa picha arusha,hakuonaa sehemu kunaa nyumbaa na kumepangikaaaaa vizuri,mfano...njiro,moshono,soweto....tuachee kujiangushaa wenyeweeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom