Kenyan, Tanzanian ivory seized in China!

Kenyan, Tanzanian ivory seized in China!

itakuwa ni michongo ya wafadhili wa chama wanakusanya pesa za kuwanusuru 2015 bila shaka

Kaka Lukindo umenena yote. Nafikiri
Mauzo ya Twiga na wanyama wengine yalishindwa kuwanusuru Arumeru mashariki. Awamu hii wamewahi sana kukusanya maana EPA iliyozoeleka imebanwa sana na kina Mnyika. Tutarajie mengi kuelekea 2015
 
Inawezekana ni kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi Mkuu 2015 ...kufadhili chama!
 
Inawezekana ni kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi Mkuu 2015 ...kufadhili chama!

Mi nafikiri hili nalo litaizika ccm mazima mwa huo 2015.
Haiwezekani kamwe ktk jamii yetu Tembo waendelee kuuawa hivi!
 
Hahahaha Tz yangu!!!

Ntarudi kuwakaribisha mjini..
 
Hapa kuna kazi nchi hii mmmm

tena kazi sio ndogo ndugu yangu...

Mchezo unaanzia Kibiti kwenye kituo cha polisi,watu wakishafika pale wanaacha pesa ndefu ya kukodisha bunduki,mkubwa anakuwa ameishatoa maelekezo ni kiasi cha kufika na kuchukua silaha na kuanza safari kuitafuta Selous Game Reselve...Gari zinazotumika ni STK au STJ.

Bunduki zinapelekwa hadi kwa wataalamu wa kulenga chimbo uko zaidi Liwale...wataalamu wanapelekwa kupikwa maana Ndovu awakosewi kulengwa ukiwakosea haurudi wewe wala bunduki ya serikali..

Wataalamu wanaingia chaka tena ndani kabisa uko...ukikutana na wazungu na ndege yao nao wanalenga unakausha kama uwaoni..

Mkishapiga mzigo wa kutosha safari ya kulitafuta soko inaanza na mara hii njia ni boda kwa boda from Liwale Kilwa kupitia Kandawale unaibukia Ikwilili hii njia ni very safe hakuna wanoko wa haina yoyote..

Ukifika Ikwilili unakuta ma-Don wanakusubilia na mshiko cash bila majadiliano..guess what!kilo moja ya pembe ni laki mbili taslim..lile pembe moja tu lina kilo kibao...ukishakunja pesa yako hakuna kujuana tena mtatafutana tena siku ya dili...

Watu washachoka kusikia wimbo wa ufisadi(ukishindwa kupambana nao jiunge nao)..

Msione watu maisha safi mjini hapa mkachukulia poa..izo miradi za sijui Botique BarberShop ni magilini tu..
 
Tmsubiri atasemaje kwa hili.

mnamsubilia Waziri atasemaje!!??wakati huo chaka wazee nao wanasubilia kuangusha!!??

Nchi ya siasa hii na udini..nyie endeleeni kujadili nani atakuwa mwenyekiti uvccm,au cdm itamsimamisha nani urais uku watu wanavuna nyara kama wanamkomesha mtu..oooh nchi yangu Tz!!

Hadi kufikia 2030 tutaanza kuagiza tembo kutoka nje kama Faru amini usiamini..
 
"It seems that the ivory consignment seized in Hong Kong last week is from Selous Game Reserve and Mikumi…we shall launch investigations into the matter," said the Interpol source.
 
Back
Top Bottom