Kenyan Rappers: Nani Mkali Kati Ya Watatu Hawa?

Kenyan Rappers: Nani Mkali Kati Ya Watatu Hawa?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,965
Reaction score
9,464
Wadau wa Entertainment, kati ya rappers hawa kutoka Kenya ni nani mkali zaidi? Rappers hawa ni Collo, Khaligraph Jones na Octopizzo. Mimi nawakubali hawa jamaa ila Collo nampa nafasi ya kwanza akifuatiwa na Khaligraph na Octopizzo.
 
Kwenye list yako Rabbit King Kaka alipaswa kuwepo
 
So nikk ni vipi bhana/ kimziki ndio sisi ama/...

Hip hop inaenea inapanda/ nabado wajinga wanakemea wajanja/ kajole alishanipeaga namba moment of silence for mangwea na langa. Shika hizi DVDs uende ukacheki ndo utambue mazee ni bidii...
baba yao ni mkali aseeh ila kuna watu wanahitaji heshima zao kama jua kali....
 
sir buggs aka bob mapesa......naskia utam naskia utam naskia utamtam.....nakia utaaaaammm....tisha sana huyu
 
Kolo mkali ila umemsahau Jua Kali hasa kwa tungo zake
 
Wadau wa Entertainment, kati ya rappers hawa kutoka Kenya ni nani mkali zaidi? Rappers hawa ni Collo, Khaligraph Jones na Octopizzo. Mimi nawakubali hawa jamaa ila Collo nampa nafasi ya kwanza akifuatiwa na Khaligraph na Octopizzo.

Ila #JAYJAY forbes 2015 walimrank Octopizoo kama miongoni mwa ma rapper bora afrika kwenye top 20 alikuwa namba 13. Baba Yao..ni mpya kwa Mashabiki hajatusua kivile kama octopizoo ila kwangu kwa kenya ndiye illiest rapper aseeh.
 
Kenyan rappers
1. King kaka rabbit
2.octopizo
hao ndo nawaona wakali japo hawajui kufreestyle kama marapa wa bongo ila wana sound poa sana
 
Kenyan rappers
1. King kaka rabbit
2.octopizo
hao ndo nawaona wakali japo hawajui kufreestyle kama marapa wa bongo ila wana sound poa sana
Taja na nyimbo tuzitafute tupime
eg Octopizo kuna Nini, ivyo ivyo, vile inafaa
 
Nyashinski, Jua Kali, Nonini, P-unit, King Kaka. Octopizzo anasikilizwa na watoto
 
So nikk ni vipi bhana/ kimziki ndio sisi ama/...

Hip hop inaenea inapanda/ nabado wajinga wanakemea wajanja/ kajole alishanipeaga namba moment of silence for mangwea na langa. Shika hizi DVDs uende ukacheki ndo utambue mazee ni bidii...
baba yao ni mkali aseeh ila kuna watu wanahitaji heshima zao kama jua kali....
Naomba nifute kauli kama ataongezeka Nyashinski kwenye list.

Mazee huyu jamaa mnampa nini.? To me he's undisputed king of Rap in Kenya if not entire industry.
 
Back
Top Bottom