MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Wakenya watatuiga sisi!Mbona washataka Rais wao amuige wetu
Lazima tuwaige ili tufikie angalau kidogo uchumi wao ndio maana wao bajeti yao trion 55 sisi watz bajeti yetu trion 29 na ukichukulia wao nchi yao ndogo na watu wachache kuliko tanzHivi kweli watanzania wote na akili zetu pamoja na viongozi wetu makini tuwaige wakenya kwa kipi sasa.
Wenzao hawaweki VAT ili kuvutia watalii. Ila sisi tunaweka kwasababu hatuwahitaji. Watalii wakipungua ndo tutaanza kulaumiana.
Tena watuache Kabisa maana hatutaki stress tunawaza kufyeka bomba litakapopitaKenya ni wakina nani hadi tuwaige?. Sie tunaendelea na mikakati ya ujenzi wa bomba la mafuta....
Yaani hii issue ni very simple kwa sababu tuna kila kitu,tatizo tuna viongozi wajinga to extreme.Hivi kuna mwaka ambao Tanzania itaikamata kenya kwa maendeleo ?