Kenya yamruka Dr. Mpango kuhusu VAT kwenye Utalii

Kenya yamruka Dr. Mpango kuhusu VAT kwenye Utalii

Nchi yetu ina vivutio vingi kuliko kenye watakuja tuu
Nchi yetu ni salama kuzidi kenya..!
Tuwaache kenya wafanye watakavyo na sisi tufanye yetu!
Huu ni ujinga mwingine, hivyo vivutio unavitumiaje? Vinakuingizia kiasi gani?Umetenga kiasi gani kuvitangaza?
Wake up man, still sleeping?
 
Hivi Magufuli alipokuwa akisema kwa masikitiko kuhusu Kodi za Ajabu ajabu alikuwa hajakaa vizuri na Wizara nini?
 
Hahahaha ndio tatizo la kuiga kwa wanaume wenzio hilo, Mara Kenya wamefanya hivi, mara Bunge halionyeshwi LIve south Africa ni lini na sisi tutakua role models wa wengine? Waseme mbona Tanzania hawafanyi hivi??

Role models zetu ni kuwaachia wala Nchi,wahujumu uchumi aka Lugumi,majangili,wala rushwa kubwa,mafisadi na kuwafunga ati wanaotukana Baba Jesika kwenye mitandao.
 
Tanzania hawawezi hata siku moja kuikaribia Kenya, in all aspects
 
Kila nchi na budget yake. Alshabab wakipiga Kenya, watalii watakuja Tanzania bila shurti. Afterall, tunachokosa ni miundombinu ya kufanikisha utalii.

Hatua ya kwanza ya kwanza iwe kufufua ATC, mengine yafuate!
 
Kenya ni wakina nani hadi tuwaige?. Sie tunaendelea na mikakati ya ujenzi wa bomba la mafuta....
Elimu
Utalii unaingiza fedha za kigeni kuliko dhahabu gesi au mazao yote ya kilimo
Kenya ndio mshindani wetu mkuu kwenye nyanja hii,hivyo lolote atakalofanya lina athari kwetu
Umeelewa kijana?
 
Tanzania hawawezi hata siku moja kuikaribia Kenya, in all aspects

Ni kweli kwa kuongea kiingereza na ukabila hatuwafikii kabisa.Wanaongea kiiigereza utafikiri trekta limewashwa na malkia.
 
Kenya ni wakina nani hadi tuwaige?. Sie tunaendelea na mikakati ya ujenzi wa bomba la mafuta....

Akili nyingine mpaka Kinyaa , unaambiwa tuliweka VAT sababu Kenya wanayo , sisi tumeweka Kenya wametoa.Sasa unafikiri why Mhe. Waziri aliweka Kenya Kama reference point
 
Siku ukitumia akili yako hata theluthi moja kwenye mambo ya maana nchi ingekuwa mbali
Itakua natumia akili yako.....ndio mana nchi hii iko nyuma sana kimaendeleo kwa akili zenu za mwendokasi
 
Kenya ni wakina nani hadi tuwaige?. Sie tunaendelea na mikakati ya ujenzi wa bomba la mafuta....
Utalii ndio unaingiza pesa nyingi za kigeni kuliko sekita zote Tz, na mpaka sasa washindani wetu ni kenya hivyo kuweka vat kwenye utalii tanzania utaongeza gharama na watalii wengi watakwenda kwao, na Tz kukosa mapato mengi,dunia ya sasa watu wanaangalia sana matumizi hasa ktk gharama za mapumziko, Tayari sisi gharama ziko juu kuliko wao tukiongeza tena vat Tz itakosa biashara.
 
Ni kweli kwa kuongea kiingereza na ukabila hatuwafikii kabisa.Wanaongea kiiigereza utafikiri trekta limewashwa na malkia.
Sana tuu, mfano mwanafunzi wa Shule ya kata akishindwa kuzungumza kiingereza kwa sababu kwa miaka minne kakutana na mwalimu wa kiingereza sio zaidi ya Mara mia haishangazi.
Lakini msomi wa PhD na miaka 20 ana practice ndani ya Ofisi ambazo 80% ya documents na mawasiliano ni kiingereza halafu eti hakijui anachapia ndio maajabu ya nchi hii.
 
Dr.Mpango akisoma bajeti katika sekta ya utalii alisema watatoza VAT katika gharama mbalimbali za utalii huku akitoa mfano wa Kenya kwamba nchi hiyo pia inatoza VAT katika sekta hiyo.Wakati huo huo Kenya imetangaza bajeti yake huku wakiendelea kutokuweka VAT kwenye sekta ya utalii ili kuvutia watalii na kukuza sekta hiyo

wazee wa mwendo kasii...wao kila kitu wanawaza uroda tuuu
 
Back
Top Bottom