Kenya yaendelea kuzuia Watanzania kuingia Taveta na kufanya biashara

Madereva wao bado tunawapima, kipimo kiko pale pale....hakuna kuingia hivi hivi kama unayeingia chooni.
M
Acha uwongo,madereva wanapimwa na kila nchi mwenueji na kupewa Cheti,alafu,ujue kwamba,hata madereva wenu wanapimwa kabla ya kuingia TZ.nyinyi sasa hivi ndio mnaongoza kwa Corona hapa EA!
 
Sisi hatuna tatizo madereva wetu kupimwa wakiingia Tanzania, siku zote hatujawahi kuwa na tatizo maana sisi hatufichi corona kama mnavyofanya, ila nyie mkija huku iwe dereva au kajamba yeyote yule lazima tumpime sisi na kuhakiki, uliza uambiwe, kipimo kiko pale pale, haturuhusu mtuletee balaa la uzembe wenu.
 
Huwa tunavumiliana tu maana hatuna jinsi, tuliwahi kufungiana mipaka ila ikaja kufunguliwa na wajukuu, mlivyo wazembe na wavivu huwa tunalazimika kwenda na nyie hivyo hivyo tu. Tatizo lenu kubwa mnaishi kwa wivu na majungu, hata huoneana wivu baina yenu sembuse nchi majirani.
Tunalazimika kuwavumilia tu na kuwakuna kila mkinuna maana sisi kama mabepari haja yetu kubwa ni kupiga hela, hatuna huo ujinga wenu wa kuitana ndugu ilihali mnahujumiana chini kwa chini kiunafiki.
Sasa kama wenyewe kwa wenyewe unabaguana, mnauana na hata hamuwezi kuoana kati mjaluo na mkikuyu, mtawezaje kuelewana na nchi Jirani?.

Sasa hivi kati ya Kenya na Uganda kuna fujo kati ya Kenya na Uganda kwasababu hiyo hiyo ya Corona, kwanini isiwe kati ya mpaka wa Tanzania na Uganda, au na Rwanda.

Kenya ndio mliochinjana 2008, sisi ndio tuliokuja kuwasaidia, bila Tanzania hamuwezi kufanya lolote, ndio sababu mkuu wa mkoa wa Tanga aliposema Gari kutoka Kenya zisiruhusiwe, haraka sana Uhuru Kenyatta alipiga simu ya kuomba msamaha.
 
Sisi hatuna tatizo madereva wetu kupimwa wakiingia Tanzania, siku zote hatujawahi kuwa na tatizo maana sisi hatufichi corona kama mnavyofanya, ila nyie mkija huku iwe dereva au kajamba yeyote yule lazima tumpime sisi na kuhakiki, uliza uambiwe, kipimo kiko pale pale, haturuhusu mtuletee balaa la uzembe wenu.
Iweje madereva wa malori wa Kenya wanalalakia lilelile walilolamikia madereva wa Tanzania huko Malaba?
 
Wapimwe pumbavu zao, sisi sio kama Watanzania waficha maradhi, hutaskia serikali yetu ikilialia kuhusu madereva wetu kupimwa huko Uganda, lazima wapimwe, ukienda kwenye nchi ya watu kubali vigezo na masharti yao, hata wakiagiza wakushikishe ukuta na kukutia dushe kabla ya kuruhusu uingie kwao, aidha ukatae na kugeuza urudi kwenu au ukubali hali.
Msimamo wetu ni kila mtu lazima apimwe akiingia nchi ya watu au akija kwetu, acheni kung'ang'ania na njaa zenu mtuambukize corona, lazima tuwapime, tena tunapima sisi, hatujali kama mnakuja vyeti mlivyofoji huko kariokoo.
 
Sasa mbona Serikali ya Tanzania ilipisema kila mtu abaki kwake na magari ya Kenya wala Tanzania yasivuke mipaka, Kenya ndio mliomba yaishe?.

Kwanza bunge lenu la seneti lilimuita waziri wenu wa Afrika mashariki kutolea Maelezo. Pili Uhuru Kenyatta alimpigia simu Magufuli. Kwanini isiwe ni viongozi wa Tanzania ndio wawatafute wakenya?
 
Mbaki kwenu shenzy type! Trucks za Tanzania zinazuiwa pia! Kwani trucks za Tanzania zinaleta nn Kenya?
Tulia bro naona vyuma vishakaza bongo hata mwezi hujaisha vile ulipiga kelele Kenya inahitaji Tanzagiza.
 
Sasa mbona Serikali ya Tanzania ilipisema kila mtu abaki kwake na magari ya Kenya wala Tanzania yasivuke mipaka, Kenya ndio mliomba yaishe?.

Kwanza bunge lenu la seneti lilimuita waziri wenu wa Afrika mashariki kutolea Maelezo. Pili Uhuru Kenyatta alimpigia simu Magufuli. Kwanini isiwe ni viongozi wa Tanzania ndio wawatafute wakenya?

Kuna elimu fulani huwa najaribu kuwapa Watanzania lakini mlivyoganda kwenye ubongo huwa haiwaingii, mfahamu sisi tuna mitazamo ya kibepari, kwa kifupi sisi ni wafanya biashara, hatuna muda wa majungu au hata undugu. Mabepari huepuka uadui, hutumia namna yote kudumisha diplomasia ili wapige hela.

Nyie hapo mliharibiwa na ujamaa wa Nyerere, mnaishi kimajungu majungu hata baina yenu, kila kitu mnaendesha kwa visasi, sisi tuliposema kila anayeingia kwetu lazima apimwe, ikawauma mkaanza kulialia huku mkibwatuka na kung'aka, na kuanza kutafuta namna ya kulipiza kisasi, mlidhani hatua zetu tunazichukua kwa nia ovu kama mlivyo, mkasahau haja yetu kubwa ni kuhakikisha usalama wa kiafya kwa watu wetu.

Wakuu wa mikoa kwenu wakawa kila siku ni matamko ya vilio, ooohh mara tunawahujumu msipate watalii mara hiki mara kile, pumba tu. Sasa sisi kama mabepari au wafanya biashara huwa tunataka kila kitu kiende shwari bila makelele, hivyo ikabidi mkunwe kunwe na kutekenywa muache hayo makelele, rais wetu (mkali wa diplomasi) akampigia simu rais wenu, akamtekenya kisha mkaacha makelele, hali ikatulia, viongozi wakakutana, mkatekenywa zaidi na kucheka cheka kisha hali ikarudi kama kawaida.....nenda pale mpakani uone kinachotendeka, hakuna anayeingia kwetu bila wataalam wetu kumpima na kumhakiki.
 
Sasa kama wenyewe kwa wenyewe unabaguana, mnauana na hata hamuwezi kuoana kati mjaluo na mkikuyu, mtawezaje kuelewana na nchi Jirani?.

Sasa hivi kati ya Kenya na Uganda kuna fujo kati ya Kenya na Uganda kwasababu hiyo hiyo ya Corona, kwanini isiwe kati ya mpaka wa Tanzania na Uganda, au na Rwanda.

Kenya ndio mliochinjana 2008, sisi ndio tuliokuja kuwasaidia, bila Tanzania hamuwezi kufanya lolote, ndio sababu mkuu wa mkoa wa Tanga aliposema Gari kutoka Kenya zisiruhusiwe, haraka sana Uhuru Kenyatta alipiga simu ya kuomba msamaha.
Leo umechinja albino wangapi?
 
Zaidi ya viongozi wa Tanzania kusema MAGARI ya Kenya yasiruhusiwe kuja Tanzania, ni kiongozi gani aliyelia kama sio viongozi wenu wa Kenya kuomba msamaha wakiongozea na Uhuru Kenyatta kuomba msamaha kwa Magufuli,?
Nendeni mkafunge tena basi. Tunechoka na hizi kelele zenu za kulia kila siku.
 
Kuna elimu fulani huwa najaribu kuwapa Watanzania lakini mlivyoganda kwenye ubongo huwa haiwaingii, mfahamu sisi tuna mitazamo ya kibepari, kwa kifupi sisi ni wafanya biashara, hatuna muda wa majungu au hata undugu. Mabepari huepuka uadui, hutumia namna yote kudumisha diplomasia ili wapige hela.

Nyie hapo mliharibiwa na ujamaa wa Nyerere, mnaishi kimajungu majungu hata baina yenu, kila kitu mnaendesha kwa visasi, sisi tuliposema kila anayeingia kwetu lazima apimwe, ikawauma mkaanza kulialia huku mkibwatuka na kung'aka, na kuanza kutafuta namna ya kulipiza kisasi, mlidhani hatua zetu tunazichukua kwa nia ovu kama mlivyo, mkasahau haja yetu kubwa ni kuhakikisha usalama wa kiafya kwa watu wetu.

Wakuu wa mikoa kwenu wakawa kila siku ni matamko ya vilio, ooohh mara tunawahujumu msipate watalii mara hiki mara kile, pumba tu. Sasa sisi kama mabepari au wafanya biashara huwa tunataka kila kitu kiende shwari bila makelele, hivyo ikabidi mkunwe kunwe na kutekenywa muache hayo makelele, rais wetu (mkali wa diplomasi) akampigia simu rais wenu, akamtekenya kisha mkaacha makelele, hali ikatulia, viongozi wakakutana, mkatekenywa zaidi na kucheka cheka kisha hali ikarudi kama kawaida.....nenda pale mpakani uone kinachotendeka, hakuna anayeingia kwetu bila wataalam wetu kumpima na kumhakiki.
Kwahiyo mlipaswa kuanzia mwanzo kufuata njia za kidiplomasia kuliko kutoa matamko ambayo baadae yanawafanya mdhalilike na kupiga magoti kuomba msamaha.

Sasa kama mnafanya mambo ambayo mwishoni yanasababisha rais (mwizi wa ardhi ya Kenya) kudhalilika na kuomba msamaha, hamuoni kwamba hamjui diplomasia hadi umdhalilishwe?
 
Mbona hauelewi, hamna kilichobadilika, hatukutoa matamko ila tuliainisha sera mpya kwamba kila mgeni anayeingia nchini lazima tumpime, ila kilichosababisha mlipuke ni pale tulianza kutaja madereva wenu, kila tukipima tunataja Wakenya, Warundi, Waganda na Watanzania, sasa kwa vile nyie kwa umaskini wenu mumejichokea kwenye vita dhidi ya corona na kudanganya wadanganyika kwamba hamna corona na kuwa wanaokufa kufa huko wanakufa kisa malaria na mambo mengine, ikawauma sana maana kila tukitaja ilikua kama tunawaumbua.

Ndio mkaanza kufoka foka, hatimaye mkatuomba tupime na kuifanya siri, na kwa vile haja yetu haikua kuwataja ila kulinda watu wetu, hivyo tuliridhia tuendelee kupima na kuwapa wagonjwa wenu kisiri muendelee kuwadanganya raia wenu huko.
 
Sasa kama wenyewe kwa wenyewe unabaguana, mnauana na hata hamuwezi kuoana kati mjaluo na mkikuyu, mtawezaje kuelewana na nchi Jirani?.

Sasa hivi kati ya Kenya na Uganda kuna fujo kati ya Kenya na Uganda kwasababu hiyo hiyo ya Corona, kwanini isiwe kati ya mpaka wa Tanzania na Uganda, au na Rwanda.

Kenya ndio mliochinjana 2008, sisi ndio tuliokuja kuwasaidia, bila Tanzania hamuwezi kufanya lolote, ndio sababu mkuu wa mkoa wa Tanga aliposema Gari kutoka Kenya zisiruhusiwe, haraka sana Uhuru Kenyatta alipiga simu ya kuomba msamaha.
Mtoto wa uhuru kaoa mjaluo
 
Sisi hatuna tatizo madereva wetu kupimwa wakiingia Tanzania, siku zote hatujawahi kuwa na tatizo maana sisi hatufichi corona kama mnavyofanya, ila nyie mkija huku iwe dereva au kajamba yeyote yule lazima tumpime sisi na kuhakiki, uliza uambiwe, kipimo kiko pale pale, haturuhusu mtuletee balaa la uzembe wenu.
Nimekuwa nifatilia sana hoja zako za kupima madereva covid , nikwambie tu hujui mengi ya boda , Kuna rushwa ya kufa mtu upande wa kenya, na hao wanaotest positive, wengi wao hawakujiongeza!,

Zoezi la kupima kwa nchi masikini Kama Kenya ni gumu, Sana sana mtatajirisha maofisa kadhaa.

Sent
 
Back
Top Bottom