CS Mohammed: At Namanga every day crosses 120 trucks from Tanzania vs 30 from Kenya

Thamani ya trela moja ya bidhaa kama madawa ,ambazo ndio export kubwa ya Kenya nchini Tz, ni sawa na thamani ya trela ngapi za maharage na mahindi? 15,20,25,30? Tafakari hayo.
You are stupid.
Do some investigation. Just list medicine do you export to TZ
 
Tanzania wamenyekea lakini... Rafiki yangu huko Monduli ambaye ni mkulima aliniambia jana huu ujinga wa Magufuli unawafka mwisho sasa....

Soko lao kuu ni Kenya, wakikosa soko itakuwa balaa ...
 
Which medicine do u export to us that can't be produced in Tanzania? stop what ur smoking!
Mzee, kabishane na TRA, BoT ndio hizi takwimu zao>>> Tanzania trade with Kenya turns into deficit Tangia mpate uhuru isipokuwa 2014-18, hakuna mwaka ambao mmeuzia Kenya bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya mnazonunua kutoka Kenya. Mwaka jana mmepata deficit ya $35.8 million kwenye biashara na Kenya. Top export za Tz, mahindi, maharagwe, kamba za makonge. Top export za Kenya, madawa, sabuni, bidhaa zingine kutoka kwa viwanda. Una swali lingine?
 
Nimekuuliza dawa zipi tunategemea kenya na hapa TZ hazipo!?
Just mention them.
as if hamna alternative ya Hedex! Mimi ninachojua Kenya hu-export chewing gum kama huyu economist Prof dr Ojwang alivyosema leo!
LOLHedex ndio anaita madawa
Nilijua mtaingiza porojo maanake huwa mna allergy kali sana ya takwimu. Haijalishi ni bidhaa zipi haswa kutoka kwa viwanda vya Kenya. Ila natumai mmeona kwamba mwaka uliopita Kenya iliwapiga bao la kibiashara la $35.8 million(takwimu za TRA/BoT sio mabeberu). Hivi mnajua pia kwamba 70% ya mahindi ambayo Kenya huwa inaagiza kutoka nje yanatoka Uganda? K.m. mwaka huu wa 2018 baada ya Kenya kuzalisha tani 360,000 pengo la demand lilosalia nchini waliagiza tani 66,900 Uganda na Tz tani 10,000 tu. Kenyans import $31.2m maize from the region to meet demand - Kenya
 
Back
Top Bottom