WHO Kenya: coronavirus vaccine trials ongoing in the country

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,033
79,015

MY TAKE: Despite a public statement by Uhuru that no vaccine trials r to be conducted in Kenya following an announcement by a scientist at Oxford that Kenya will be a site of trials for the new coronavirus vaccine, WHO Kenya has come open and announced the official start of clinical vaccine trials to go by the name solidarity trials.

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy Sinister nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham,mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Kweli uelewa unatofautiana.
Kulingana na video ya kwanza Mbona kinachoendelea kenya sio trial ya vaccine?
 
Kweli uelewa unatofautiana.
Kulingana na video ya kwanza Mbona kinachoendelea kenya sio trial ya vaccine?
Usitegemee Geza ambaye kizungu hakifahamu kuelewa solidarity trial ya WHO ni nini. Anadhani kila trial ni ya vaccine. Hajui kuwa pia kuna trials ya therapeutics (madawa) na hiyo ndio inayofanywa kenya kwa jina solidarity trial.
 
Ndo mnapopigwa bao hapo hapo!
 
Usitegemee Geza ambaye kizungu hakifahamu kuelewa solidarity trial ya WHO ni nini. Anadhani kila trial ni ya vaccine. Hajui kuwa pia kuna trials ya therapeutics (madawa) na hiyo ndio inayofanywa kenya kwa jina solidarity trial.
Unakataa kufanyiwa jaribio la chanjo lakini unakubali jaribio la dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nipe tofauti ya chanjo na dawa! Ninavyojua kuna dawa zinazokuwa-administered kwa sndano na kuna chanjo zinazokuwa administered kwa matone mdomoni kama syrup! Sasa utajuaje kipi ni kipi ndani ya hii mass testing? tena baada ya jamaa wa Oxford kutamka hadharani kuna vaccine test inafanyika Kunyaland?
 
nipe tofauti ya chanjo na dawa! Ninavyojua kuna dawa zinazokuwa-administered kwa sndano na kuna chanjo zinazokuwa administered kwa matone mdomoni kama syrup! Sasa utajuaje kipi ni kipi?
Chanjo ni kupewa mfano corona virus asiye na madhara makubwa(wanabadilishwa maabara) na kisha mwili unatengeneza memory cells,so utakapopata real corona inakuwa rahisi mwili kupambana fasta na kuwamaliza..

Dawa hakuna haja ya definition
 
kuna suala la ku-induce antibodies! lazma kutakuwa na sort of kudungwa sindano!
 
nipe tofauti ya chanjo na dawa! Ninavyojua kuna dawa zinazokuwa-administered kwa sndano na kuna chanjo zinazokuwa administered kwa matone mdomoni kama syrup! Sasa utajuaje kipi ni kipi?
Don't lay bare your ignorance for all to see. Eti "nipe tofauti ya chanjo na dawa" Are you serious? Nyinyi ndo wale wa saint Kayumba primary.

Chanjo ni vaccine kwa kiingereza na dawa ni medicine. Vaccines are not meant to treat ailments, they are administered purposely to prevent illnesses while medicines are administered to treat or cure illnesses. In other words, vaccines provide active immunity to particular infectious diseases while medicines treat or cure them.

Take polio vaccine for instance. It's meant to prevent one, mostly children, from developing polio as they grow up. It's not meant to treat polio.
 
Kweli uelewa unatofautiana.
Kulingana na video ya kwanza Mbona kinachoendelea kenya sio trial ya vaccine?
Uelewa unatofautiana kweli na kiingereza pia kama kawa kinawakanganya sanaaa. Hakuna trial ya vaccine ambayo imeanza au inaendelea Kenya. Kinachozungumziwa ni 'Solidarity Trials' za WHO ambapo wanasayansi kutoka Kenya wameungana na wanasayansi wengine kote duniani kujisajili na WHO ili kutekeleza juhudi za kwa pamoja za kupata chanjo na tiba ya COVID-19. Kama kawa Tz imeachwa nyuma kwenye kampeni hii ya kimataifa. Infact Tz na Guinea ndio nchi mbili tu za Afrika ambazo zimekomalia kwenye 'tiba mbadala'(feki) ya CVO kutoka Madagascar. Wanasayansi wa Kenya kutoka KAVI-ICR, College of Sciences pale Univ. of Nairobi wapo kwenye mstari wa mbele, pamoja na KEMRI pia. Kenya part of Covid-19 drugs, vaccines trials : The Standard
 
nipe tofauti ya chanjo na dawa! Ninavyojua kuna dawa zinazokuwa-administered kwa sndano na kuna chanjo zinazokuwa administered kwa matone mdomoni kama syrup! Sasa utajuaje kipi ni kipi ndani ya hii mass testing? tena baada ya jamaa wa Oxford kutamka hadharani kuna vaccine test inafanyika Kunyaland?
Chanjo nyingi huwa unapewa mara moja tu. Sindano moja au tone moja halafu mambo kwisha. Tembe nyingi nayo mtu humeza tembe kama kumi kabla kupona kwà mfano antivirals na antibiotics lazima unywe kwa siku tano au zaidi.
 
kuna suala la ku-induce antibodies! lazma kutakuwa na sort of kudungwa sindano!
Memory cell zinazotengenezwa ndo zitakazotoa antibodies pindi mtu akipata hao virus in the future..

Sindano,kupewa kama matone hizo zote ni route of administration,don't get twisted
 
utaki trial test ila unataka wenzio watestiwe halafu ikishakuwa approved wa kwanza kwenye foleni ya vaccine .....huwa siwaelewi......
 
MY TAKE: Despite a public statement by Uhuru that no vaccine trials r to be conducted in Kenya following an announcement by a scientist at Oxford that Kenya will be a site of trials for the new coronavirus vaccine, WHO Kenya has come open and announced the official start of clinical vaccine trials to go by the name solidarity trials.

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy Sinister nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham,mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

LONDON: The UK's biggest Covid-19 vaccine project, currently being tested by the University of Oxford, has shown some promising results in a small study with monkeys.

Researchers involved with the ChAdOx1 nCoV-19 trials said the vaccine had shown signs of priming the rhesus macaque monkeys' immune systems to fend off the deadly virus and showed no indications of adverse effects.

According to the study, which is yet to be peer-reviewed, a single vaccination dose was also effective in preventing damage to the lungs – organs that can be severely affected by the virus.

"A single vaccination with ChAdOx1 nCoV-19 induced a humoral and cellular immune response in rhesus macaques," the authors said.

"We observed a significantly reduced viral load in bronchoalveolar lavage fluid and respiratory tract tissue of vaccinated animals challenged with SARS-CoV-2 (Covid-19) compared with control animals, and no pneumonia was observed in vaccinated rhesus macaques," they said.

The researchers found that after being exposed to high levels of the novel coronavirus, none of the six monkeys that were given the vaccine developed viral pneumonia. Also, there was no sign that the vaccine had made the animals more vulnerable.

The development has been welcomed as encouraging signs for a vaccine currently undergoing human trials but experts warn that it remains to be seen if it is as effective in humans.

"These results support the ongoing clinical trial of the vaccine in humans, the results of which are eagerly awaited," said Dr Penny Ward, visiting professor in pharmaceutical medicine at King's College London.

Sarah Gilbert, professor of vaccinology at the University of Oxford's Jenner Institute who is leading the research, has previously said she has a "high degree of confidence" in the vaccine.

"Of course, we have to test it and get data from humans. We have to demonstrate it actually works and stops people getting infected with coronavirus before using the vaccine in the wider population," she said.

British drugs giant AstraZeneca has struck up a "landmark partnership" with the Oxford University team and said that 100 million doses could be made by the end of the year if the trials prove successful.

"We're now starting to wait for an advocacy signal to see whether people who've been vaccinated don't get the disease, so that's the next step," said John Bell, professor of medicine at the University of Oxford.

However, the team is faced with the risk that there may not be enough active disease in the community for the participants to catch it naturally, calculations around which remain ongoing as the human trials progress in regions of the UK.

If the trial is successful in the UK, the Oxford team will approach scientists in the Kenya Medical Research Institute (KEMRI) and will approach the government of Kenya for permission to evaluate in Kenya.

"We also want to make sure that the rest of the world will be ready to make this vaccine at scale so that it gets to populations in developing countries, for example, where the need is very great," Bell said.

Meanwhile, it is hoped that results from the first human trials could be available by next month after healthcare workers on the frontlines of the pandemic were among those in the first batch of the trials in the UK.

The UK is the third worst-hit country in the world with 234,441 coronavirus cases. The US tops the chart with 1,417,889 cases, followed by Russia at 252,245.

The deadly virus has so far claimed 33,693 lives in the UK.

Oxford University's Covid-19 vaccine test on monkeys shows promise - ET HealthWorld
 
Back
Top Bottom