Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,304
- 79,746
Mbaki kwenu shenzy type! Trucks za Tanzania zinazuiwa pia! Kwani trucks za Tanzania zinaleta nn Kenya?Wacha ujinga. Tulikubali tu madereva wa Tanzania kuingia Kenya baada ya kupimwa huko kwenu. Hamna mahali popote tulikubali wafanyabiashara wa Tanzania kuingia Kenya. Nyie watu hata uelewa wenu ni mdogo sana. Sasa kila mtu afuate mkataba. Sasa mnavunja mkataba kwa nini?
Truck zenu zinazuiwa pia? Basi fungua uzi kuhusu hilo jambo tutachangia.Mbaki kwenu shenzy type! Trucks za Tanzania zinazuiwa pia! Kwani trucks za Tanzania zinaleta nn Kenya?
Lori la Mizigo ya gunia la viazi kutoka Rombo Kilimanjaro kuelekea Taveta Kenya lasimamishwa, na kupimwa uzito wa kila gunia na viazi vya ziada kurudishwa kwa Mkulima muhusika. Hii ni kutokana na serikali ya JPM kuingilia kati kukomesha tabia ya kuuza magunia ya lumbesa yanayompunja mkulima!Kenyan businessmen are already in Ethiopia and Uganda sourcing commodities, kwanza onions, pineapples ziko kwa wingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inshu, ni kufunga mpaka kabisa, no need of discussion on anything japo wafanyabiashara wetu wataumia kwa mda,lakini hii ni too much. Jana niliona hata ule mtiti wa madereva uko vile vile, yaani wanasubiri hadi 7 days, pande zote!
Geza Ulole,
Wacha ujinga. Tulikubali tu madereva wa Tanzania kuingia Kenya baada ya kupimwa huko kwenu. Hamna mahali popote tulikubali wafanyabiashara wa Tanzania kuingia Kenya. Nyie watu hata uelewa wenu ni mdogo sana. Sasa kila mtu afuate mkataba. Sasa mnavunja mkataba kwa nini?
Nilimwambia that Tanzania is like a jealous girlfriend. You cheat on her alafu akirealise your actions unamwingiza box by sweet words to cool down akuachie space ya kudeal na ex. And that's what Kenya did to Tanzania. Tumewandanya na few enticing words wakati tunaendele na objectives zetu.Geza Ulole, Wauziane wao kwa wao, mbna wanalalamika na bado mwezi haujaisha
Cc:Mk254 kuja hku uone vile jamaa wa majigambo wanavyoumbuka..
Km hawaihitaji kenya mbna wanangangania basi
Nilimwambia that Tanzania is like a jealous girlfriend. You cheat on her alafu akirealise your actions unamwingiza box by sweet words to cool down akuachie space ya kudeal na ex. And that's what Kenya did to Tanzania. Tumewandanya na few enticing words wakati tunaendele na objectives zetu.
Mmeitikia neno la Jiwe la kutotangsza wenye corona wanatoka nchi gani.Madereva wao bado tunawapima, kipimo kiko pale pale....hakuna kuingia hivi hivi kama unayeingia chooni.
Mmeitikia neno la Jiwe la kutotangsza wenye corona wanatoka nchi gani.
Na hii ndiyo sababu kubwa itakayo tufanya tumchague tena Dr John Pombe Magufuli, jembe kutoka Chato. Wakenya schenk wivu.Madhumuni yetu, dira yetu, nia yetu, dhamira yetu, sera zetu, malengo yetu, maono yetu ni afya ya Wakenya kwanza.....
Kila anayeingia lazima tumpime sisi, akiomba asitangazwe au nchi yake ikituomba tusimtangaze na kumpokeza kimya kimya, tunapokeza bila kuwasema.
Tanzania imeamua watu wajifie au kupona kimya, hayo ni maamuzi yenu kwenye uhuru wenu, na kama taifa huru ilmradi hamtuambukizi, wala hatuwezi kuingilia, tunawaacha mpambane huko huko na hali yenu. Hii hata mabeberu wanaowapa misaada hawawezi kuingilia....
Hivyo tunaendelea kuwapima madereva wenu, kila mmoja hapiti bila kupimwa na mtaalam Mkenya.
Mimi sion haja ya kuwa mausiano na Kenya. Kwanza natamani hata balozi zingefungwa. Kenya siyo watu wema kwa Tanzania ilo wachache wanajua .kuna watanzania wengi wanaulwa Kenya na kuzikwa kama mizoga ya mbwaMadhumuni yetu, dira yetu, nia yetu, dhamira yetu, sera zetu, malengo yetu, maono yetu ni afya ya Wakenya kwanza.....
Kila anayeingia lazima tumpime sisi, akiomba asitangazwe au nchi yake ikituomba tusimtangaze na kumpokeza kimya kimya, tunapokeza bila kuwasema.
Tanzania imeamua watu wajifie au kupona kimya, hayo ni maamuzi yenu kwenye uhuru wenu, na kama taifa huru ilmradi hamtuambukizi, wala hatuwezi kuingilia, tunawaacha mpambane huko huko na hali yenu. Hii hata mabeberu wanaowapa misaada hawawezi kuingilia....
Hivyo tunaendelea kuwapima madereva wenu, kila mmoja hapiti bila kupimwa na mtaalam Mkenya.
Mimi sion haja ya kuwa mausiano na Kenya. Kwanza natamani hata balozi zingefungwa. Kenya siyo watu wema kwa Tanzania ilo wachache wanajua .kuna watanzania wengi wanaulwa Kenya na kuzikwa kama mizoga ya mbwa