Kenya: Wanawake wawili wafariki baada ya mkanyagano wakati wa kupokea chakula cha msaada

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,346
2,000
Uchaguzi uliopita Hapo Kenya more than 100 innocent Kenyans were Killed, and the 2007 I will never wish to mention
And 2022 pia mtaenda kuchinjana tena as usual, Halafu mpumbavu mmoja anasema mmeelimika, intact Kenya is so primitive.
Haya vitendo hutokea kila mahali, police brutality hufanyika kila mahali duniani. Unanini chengine cha kusema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,149
2,000
View attachment 1416215
Wanawake wakiwa katika msururu wa kupokea chakula

Wanawake wawili wamefariki huko Kibra siku ya Ijumaa katika zoezi la kuwania chakula kilichokuwa kikigawiwa katika eneo hilo.

Inaripotiwa kuwa wanawake hao wenye umri wa miaka ya 30 hivi, walikufa kwa kukosa hewa baada ya kujikuta kwenye mkanyagano.

Afisa wa polisi wa Kibra Andrew Musaisi alisema wanawake hao walikufa masaa machache baada ya kuondoka katika eneo ambapo mgao wa chakula kilichochangwa na wasamaria wema ulikuwa ukifanyika.

Inasemekana wawili hao walipata majeraha ya ndani na walikufa wakati wakikimbizwa hospitalini kwa matibabu.

Watu kadhaa pia walijeruhiwa katika tukio hilo.

======

Two women died in Kibra on Friday after an intense struggle to acquire foodstuffs that were being donated in the area.

It is reported that the women in their mid 30s died as a result of suffocation after they were caught in the stampede.

Kibra police boss Andrew Musaisi said the women died a few hours after leaving the distribution center.

It is reported that they sustained internal injuries and died while being rushed to hospital for medical care.

Several people were also injured in the melee.

Good Samaritans had given donations of foodstuffs through the office of the deputy commissioner.

This was to cushion vulnerable families against hunger following stringent measures effected by the government in the fight against the Covid-19 pandemic.

Most Kenyans have been urged to work from home and there is a daily curfew from 7pm to 5am which has reportedly reduced opportunities for work for those living in slums.

In an investigative feature aired on Citizen TV last week, one woman revealed how she would leave her home in Kibra at 6am in search of laundry work.

However, she would return in the evening with no money or food as most people remained confined in their houses.

The spread of coronavirus has greatly disrupted the lives of such women who live in Nairobi’s informal settlements.

On Friday, questions were abound over the manner in which the food distribution was carried out with no guidelines for social distance.

Chanzo: Citizen Tv
Kwa foleni hiyo watu wamebanana na hakuna cha kuvaa mask usalama wa afya zao ni mdogo sana.
 

mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,668
2,000
Uchaguzi uliopita Hapo Kenya more than 100 innocent Kenyans were Killed, and the 2007 I will never wish to mention
And 2022 pia mtaenda kuchinjana tena as usual, Halafu mpumbavu mmoja anasema mmeelimika, intact Kenya is so primitive.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi yako ni Kenya ianguke lakini utangoja sana Jambo Kama Hilo litimie...wacha uvivu Bro Jenga Nchi yako.
 

mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,668
2,000
Sasa kama nchi haiwezi kujikwamua kwenye ishu ndogo kabisa ya Chakula hiyo Elimu ni ya kazi gani? Leo 2020 Kenya inapokea misaada ya Vyakula toka Israel, UAE nchi ambazo ni 100% desert, Nini maana ya Elimu ikiwa Elimu haiwasaidii? Sikubaliani na wewe kwenye hili, labda useme Elimu ya Lugha ya Kingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la kingereza linakuuma Sana? Utatumia lugha gani kuwasiliana na Wafrika wenzako ama itakubidi uandamane na mkalimani? Hii ndio dalili ya elimu duni.
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,329
2,000
limeni kwa wingi. soko liko na pesa pia ipo.
Soko litatoka wapi mkuu 'Lewis254' huku soko kuu tunalotegemea mmekwishatangaza kujitosheleza kwa chakula (food security) ikiwa ni sehemu mhimu ya sera ya Mh Uhuru Kenyata ya 'Big Four.'!

Kama hii sio kutuhadaa tuache nasi kutia bidii ya kuanzisha viwanda ili tushindane vizuri na nyinyi katika kuuza bidhaa zilizotengenezwa viwandani?
 

Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
5,051
2,000
Na hapo wamefunga mipaka tu na kuzuia raia kutembea usiku,je ikiwa full lockdown hali itakuwaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom