Kenya: Wanawake wawili wafariki baada ya mkanyagano wakati wa kupokea chakula cha msaada

Wakenya wengi wana njaa na ndio maana wote wanatamani kukimbilia Tanzania
Wanatamani fursa kwa sababu ya maujinga yenu........
We mbwa kwani nyie mmewekeza nn Kenya na wakenya wamewekeza nn kwenu?
Maccm mnajitoa sn ufahamu sijui mnalaana gani kazi yenu majungu
 
Ikikuja swala la elimu hauwezi linganisha hizo nchi mbili. Ukweli usemwe!
Usikatae, tatizo ni Elimu yenu haina manufaa kwa Taifa, sasa hapo walishindwa nini kuwaambia watu wapange line kama kwenye chopper za Town? Munawaambia wasipange line ili muibe. You all thieves from Ruto to down the ground. Hence the ordinary Kenyans suffer because of your stupidity.
 
Huyo mpumbavu alieiingiza Kenya kwenye kundi la middle income sijui alikua katumia nini? Ni Kenya ndio inaibisha hilo kundi na kusababisha waliopo watoke na wengine wasitake kuingia.

Kenya ni nchi ya hovyo sana, fikiria Rais wao katoa billion 20 za Kenya kuwalipa wakina verasidika wawaburudishe hawa mafukara wa mwisho kabisa ambao unga kwao ni anasa mpaka wapo tayari kukanyagana sababu ya kilo 1 ya unga

Ni jambo la kusikitisha pesa yote hiyo inaliwa na majangili kwa kigezo kwamba zilitolewa ili mburudishwe badala wangewagawia hao mafukara wenye uhitaji.

Namshukuru sana Mungu kunipangia nizaliwe Tanzania na maisha ninayoishi. Thank God! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💘💗💓
 
Sasa matusi ya nini?
Unaona sasa badala ya kujibu kwa Hoja unaanza matusi.
Ndio maana kitu kidogo tu mmeshindwa kuorganize mpaka watu wamekufa.
Thats means you have low IQ my brother.
Wanatamani fursa kwa sababu ya maujinga yenu........
We mbwa kwani nyie mmewekeza nn Kenya na wakenya wamewekeza nn kwenu?
Maccm mnajitoa sn ufahamu sijui mnalaana gani kazi yenu majungu
 
Huyo mpumbavu alieiingiza Kenya kwenye kundi la middle income sijui alikua katumia nini? Ni Kenya ndio inaibisha hilo kundi na kusababisha waliopo watoke na wengine wasitake kuingia.

Kenya ni nchi ya hovyo sana, fikiria Rais wao katoa billion 20 za Kenya kuwalipa wakina verasidika wawaburudishe hawa mafukara wa mwisho kabisa ambao unga kwao ni anasa mpaka wapo tayari kukanyagana sababu ya kilo 1 ya unga

Ni jambo la kusikitisha pesa yote hiyo inaliwa na majangili kwa kigezo kwamba zilitolewa ili mburudishwe badala wangewagawia hao mafukara wenye uhitaji.

Namshukuru sana Mungu kunipangia nizaliwe Tanzania na maisha ninayoishi. Thank God! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💘💗💓
Kuchukia Kenya haitafanya tz iwe nchi bora kaka yangu. Umeniskia? Umetazama ile video ya watu kule SA wakipigania chakula? Endeleeni kujipiga vifua bure.
 
Usikatae, tatizo ni Elimu yenu haina manufaa kwa Taifa, sasa hapo walishindwa nini kuwaambia watu wapange line kama kwenye chopper za Town? Munawaambia wasipange line ili muibe. You all thieves from Ruto to down the ground. Hence the ordinary Kenyans suffer because of your stupidity.
Huwezi saidika chifu.
 
Elimu ya Kenya ine irrelevant . Haiwapi Akili ya kufikiria minor things which need common sense.
Wakenya akishajua kuongea English basi anajua kashapata Elimu.

Matatizo yote yaanzia hapo.

Huyo mpumbavu alieiingiza Kenya kwenye kundi la middle income sijui alikua katumia nini? Ni Kenya ndio inaibisha hilo kundi na kusababisha waliopo watoke na wengine wasitake kuingia.

Kenya ni nchi ya hovyo sana, fikiria Rais wao katoa billion 20 za Kenya kuwalipa wakina verasidika wawaburudishe hawa mafukara wa mwisho kabisa ambao unga kwao ni anasa mpaka wapo tayari kukanyagana sababu ya kilo 1 ya unga

Ni jambo la kusikitisha pesa yote hiyo inaliwa na majangili kwa kigezo kwamba zilitolewa ili mburudishwe badala wangewagawia hao mafukara wenye uhitaji.

Namshukuru sana Mungu kunipangia nizaliwe Tanzania na maisha ninayoishi. Thank God! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💘💗💓
 
Kuchukia Kenya haitafanya tz iwe nchi bora kaka yangu. Umeniskia? Umetazama ile video ya watu kule SA wakipigania chakula? Endeleeni kujipiga vifua bure.
Serikali kutoa pesa nyingi kuwagawia wakata mauno kwa kigezo cha kuwaburudisha msimu huu wa Corona ni uwehu uliotopea

Siichukii Kenya bali nawaonea huruma waliokufa kwa uzembe wa serikali yenu, you should be ashamed
 
Am sure the govt has its own reasons. Usituonee huruma kaka kwa sababu tukuwa sawa. Fatilia mambo za kwenu wakati sisi tutafatilia za kwetu.
 
Elimu ya Kenya ine irrelevant . Haiwapi Akili ya kufikiria minor things which need common sense.
Wakenya akishajua kuongea English basi anajua kashapata Elimu.

Matatizo yote yaanzia hapo.
Hawajui pia Marekani na Uingereza wenye English yao wanao mataahira na vichaa mitaani chungu mbovu wanaoongea English ya Oxford ambayo Mkenya hana hiyo accent mpaka aingie kaburini.

Ama kweli ujinga mzigo.
 
LOL kwa upumbavu?

Ninyi si ndio juzi mmeua watu zaidi ya 7 na wengine walemavu kwenye curfew?

Hiyo elimu iliwasaidiaje?
Haya vitendo hutokea kila mahali, police brutality hufanyika kila mahali duniani. Unanini chengine cha kusema?
 
Kuchukia Kenya haitafanya tz iwe nchi bora kaka yangu. Umeniskia? Umetazama ile video ya watu kule SA wakipigania chakula? Endeleeni kujipiga vifua bure.
Sasa South Africa inaingiaje hapa?, au thamani ya maisha ya mkenya ni ndogo sana ukilinganisha na maisha ya watu wa Africa kusini?.

Kwanini unataka kujilinganisha na Afrika Kusini katika mambo ya hovyo pekee?, kumbuka Afrika Kusini wameizidi Kenya kwa mbali sana karibu maeneo yote, ni bora kujilinganisha nao katika mambo mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom