Kenya: Wanawake wawili wafariki baada ya mkanyagano wakati wa kupokea chakula cha msaada

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,260
2,000
Kuna k mmoja wa Kenya kila siku anafurai Kenya kununua vifaa vya kisasa vya kivita na kuicheka Tanzania pia wanajisifu kua Wana wagonjwa wengi wa Corona sijui hua hiz taarifa hazion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,435
2,000
na mutapata wapi soko la mazao yenu wakati nyinyi munanuka ufukara??? haha
Tulis dawa ikuingie. Raidi wenyu yuko unakunywa beer state house hukunakufa na njaa. Si mumwambie aige hata jirani zenyu UG tu. Kuiga ulaya hawezi
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,435
2,000
W
Elimu ya Kenya ine irrelevant . Haiwapi Akili ya kufikiria minor things which need common sense.
Wakenya akishajua kuongea English basi anajua kashapata Elimu.

Matatizo yote yaanzia hapo.
We jamaa uneshaisikia English ya wakenya? Ni mbovu kweli kweli
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,390
2,000
downloadfile-2.gif
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,443
2,000
Comprehension is very important my friend. Tunaongelea mambo ya mafukari wakipigania chakula, na ndio maana na sema haya mambo hutokea kila mahali. Umenielewa?
Ndio sababu nikakuambia usijilinganishe katika ujinga, kila kitu kinatokea everywhere, hiyo isiwe sababu kwamba ikitokea kwako liwe ni jambo la kawaida, siku zote tunapigania mafanikio na mambo mazuri, sasa kama South Afrika wana "Xenophobia" ikitokea Kenya ni sawa kwasababu inatokea South Afrika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,668

Agenda yako ni KENYA.
 
dioquez

JF-Expert Member
Apr 9, 2020
229
500
Hayo yote ulio taja hayaenda na maswala ya middle income tuliza akili kwanza
South Africa inawaua Watanzania.
Egypt inanyanyasa Nchi za Great lakes kupitia mto Nile.
Algeria Nchi ya Waarabu walioandamana kumng'atua Rais Boutefika.

Morocco Nchi ya Waarabu inayoinyanyasa Western Sahara na pia wali-promise Tz watawajengea Uwanja was Mpira...bado plan ziko kuzinduliwa stage.

Mauritius Nchi na kisiwa Cha Wahindi na Waarabu matajiri Kama wale wako Tanzania.

KENYA nchi jirani yake Tanzania, Uganda, S.Sudan, Ethiopia na Somalia. Nchi ya Kenya ni Nghi ya Asali na Maziwa. Waulize ombaomba wa Tanzania ni wapi ukanda huu wanaweza tengeneza hela nyingi Kama Sio Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
6,172

Hizi ndio akili.za ki mido inkamu,
Made in Kibera slum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
62,026
2,000
Pole yao sana..

Siyo wawaili tu, ni zaidi ya hao... na wengi kujeruhiana wakigombaniana chakula cha msaada, chakula cha bure...Cc: mahondaw
 
Papi Chulo

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
6,268
2,000
South Africa inawaua Watanzania.
Egypt inanyanyasa Nchi za Great lakes kupitia mto Nile.
Algeria Nchi ya Waarabu walioandamana kumng'atua Rais Boutefika.

Morocco Nchi ya Waarabu inayoinyanyasa Western Sahara na pia wali-promise Tz watawajengea Uwanja was Mpira...bado plan ziko kuzinduliwa stage.

Mauritius Nchi na kisiwa Cha Wahindi na Waarabu matajiri Kama wale wako Tanzania.

KENYA nchi jirani yake Tanzania, Uganda, S.Sudan, Ethiopia na Somalia. Nchi ya Kenya ni Nghi ya Asali na Maziwa. Waulize ombaomba wa Tanzania ni wapi ukanda huu wanaweza tengeneza hela nyingi Kama Sio Kenya.
Mbona unatoka nje ya mada
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,336
2,000
Sasa kama nchi haiwezi kujikwamua kwenye ishu ndogo kabisa ya Chakula hiyo Elimu ni ya kazi gani? Leo 2020 Kenya inapokea misaada ya Vyakula toka Israel, UAE nchi ambazo ni 100% desert, Nini maana ya Elimu ikiwa Elimu haiwasaidii? Sikubaliani na wewe kwenye hili, labda useme Elimu ya Lugha ya Kingereza
Ikikuja swala la elimu hauwezi linganisha hizo nchi mbili. Ukweli usemwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom