Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267

Katika wimbo huo wenye utata mkubwa unadaiwa kuwa ni wimbo wa dini ulioimbwa na SBJ, anamuomba Mungu ampe Nyonyo kitu ambacho kimekemewa vikali na viongozi mbalimbali

Huo si ubunifu hata kidogo, tatizo kubwa la wasanii wanadhani kuwa wakiandika mashairi yenye utata watapata watazamaji au wasikilizaji wengi sababu kila mtu atataka kujua nini amesema, alisema Mutua
Mkurugenzi huyo alisema kuwa uchunguzi kuhusu wimbo huo unaendelea. Lakini wakati wimbo huo huo wananchi wengi wakenya wametaka wimbo huo kuondolewa kwenye mtandao wa YouTube.