Kenya vs Nigeria. Just For Laugh 😂😂😂

Jay456watt How does it feel to know the colour of your skin helps you cheat in competitions?
youre very stupid...rangi nyeusi tunajivunia kama waafrika...we are proud of our color..mimi mwafrika mpaka nife...sasa mnabaguliwa na wazungu ..tena tubaguane sisi pia...wachana na akili za kitumwa...rangi nyeupe haimaanishi chochote...wakanda forever...ni aibu sana mwafrika anapomwingilia mwafrika mwenzake kisa rangi ya ngozi...ndio maana mnajipaka paka vipodozi mtu aonekane mweupe kama wakoloni wanaowaona kama mbwa...its vry shameful
 
Jay456watt All this time the world couldn't see your source of achievement.

The source was too black to be seen.
 
Idiot kenya won this by far youre being choosy...number kenyan hater...if it was tz vs nigeria i would have supported tz because its our Neighbor...shows how much u hate kenya
Wacha ukabila! HELL NO i don't support Kunyaland cause they r my neighbors!
 
youre very stupid...rangi nyeusi tunajivunia kama waafrika...we are proud of our color..mimi mwafrika mpaka nife...sasa mnabaguliwa na wazungu ..tena tubaguane sisi pia...wachana na akili za kitumwa...rangi nyeupe haimaanishi chochote...wakanda forever...ni aibu sana mwafrika anapomwingilia mwafrika mwenzake kisa rangi ya ngozi...ndio maana mnajipaka paka vipodozi mtu aonekane mweupe kama wakoloni wanaowaona kama mbwa...its vry shameful
And in fact it gives Kenyan runners a selective advantage, their opponents doesn't see them, and of course they win in Athletes.
Safi kabisa .
 
Ahaaa haaa haaa
hivi Kenya na Nigeria mbona watani hivyo wakati hakuna kitu wanashirikiana zaidi ya kuwa weusi!!!?
 
oneflash Screenshots of your responses please
It is for whoever that came up with the thread to do the justice of not being partisan by bringing both charges and responses. If you want to prove me right or wrong, visit nairaland for various topics then come back.
 
youre very stupid...rangi nyeusi tunajivunia kama waafrika...we are proud of our color..mimi mwafrika mpaka nife...sasa mnabaguliwa na wazungu ..tena tubaguane sisi pia...wachana na akili za kitumwa...rangi nyeupe haimaanishi chochote...wakanda forever...ni aibu sana mwafrika anapomwingilia mwafrika mwenzake kisa rangi ya ngozi...ndio maana mnajipaka paka vipodozi mtu aonekane mweupe kama wakoloni wanaowaona kama mbwa...its vry shameful
Same applies to English mnayoiabudu
 
Ahaaa haaa haaa
hivi Kenya na Nigeria mbona watani hivyo wakati hakuna kitu wanashirikiana zaidi ya kuwa weusi!!!?
Wao ndio wameanzisha hilo bifu na kwenda kujiingiza kwenye forum ya watu ya Nairaland Kama kawaida yao na tabia yao ya kujiona nchi yao kama Marekani Wanaijeria walikua hawana hata moja kama kuna nchi inaitwa KENYA
 
True true true
 
Back
Top Bottom