kueni makini na hilo watanzania maana inashangaza mno
Kimsingi, haya yote yanayoendelea na maandalizi ya Kagame kuishambulia Tz, ameforge free movement btn Ug and Kenya ili wapiganaji wake.wapite ktk nchi hizi na kuishambulia TZ.......
hivi nchi kama rwanda inaweza kuwekeza nini hapa tz,si tutaambulia kuingiziwa wafugaji na ma ngombe yao ya ankole na bunduki za k47juu, si afadhaliye yetu tz tumewekeza rwanda kiwanda cha unga azam kikubwa tu!!!!
The selling and buying
has been going on but it hasnt reached its potential mainly because of
imposed barriers. We in Kenya would want to see more of Tanzania's
stuff...they're very few btn apart from what mama mboga sells. The
biggest problem that Kenyans have in Tanzania is Kenyans are treated
like 3rd class foreigners. Someone might have a contract to work for 3
years but u issue a work permit of 2weeks, then they have to keep
renewing unfair because those Tanzanians who come to Kenya to study or
work are treated like East Africans and dont even require a work permit.
Thats why we feel you Tznians are not committed may be it feels nice
being called SouthAfricans than East African
The selling and buying has been going on but it hasnt reached its potential mainly because of imposed barriers. We in Kenya would want to see more of Tanzania's stuff...they're very few btn apart from what mama mboga sells. The biggest problem that Kenyans have in Tanzania is Kenyans are treated like 3rd class foreigners. Someone might have a contract to work for 3 years but u issue a work permit of 2weeks, then they have to keep renewing unfair because those Tanzanians who come to Kenya to study or work are treated like East Africans and dont even require a work permit. Thats why we feel you Tznians are not committed may be it feels nice being called SouthAfricans than East African
ushauri wa bure...go learn and focus on your GRAMMAR!!!!!!
Mkuu Rushasha, msamehe bure huyu mtu. Kuna watu wanayo kasumba kudhani kujua kiingereza saaana ndo akili eti. Its quite a pity!This is not an English class you id.io.t!... when you feel a nail on yr head yr toilet like mouth just hurl insults n nonsense comments
Ndugu yangu kama unashindwa kuyaona ninayoashiria basi sidhani kama nina zaidi ya kusema. Hawa jamaa hiyo hatua kwanza inawapa wananchi wao freedom of movement baina ya nchi hizo tatu, kumbuka kuwa Mombasa ni bandari muhimu kwa hizi nchi tatu ukiongezea Congo na Burundi. Imefikia kiwango bandari ya Mombasa inaanza kustruggle na traffic ya goods zinazokwenda kwenye hizo nchi tano. Pili kwenye hayo makubaliano yao kuna mkataba wa kibiashara kwa nchi hizo tatu. Hivyo kwa taarifa yako usahau kabisa mizigo ya hizo nchi kupitishwa bandari ya Tanzania. Unajua bandari ya Dar es salaam inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa? Changamsha akili nenda kafute data then utajua halafu kwenye hizo data fatilia mizigo ya Rwanda na Burundi how much wanechangia kwenye hilo pato. Halafu utajua nini nilikuwa nazungumzia kuhusu madhara ya kiuchumi. Kuna sababu nyingi sana sana za ziada, jiulize kama wakiikamilisha mipango yao ya reli ya Mombasa to Kigali.
We mtutsi mambo ya Tanzania hayakuhusu. Bandari ni yetu na tutaitumia tujuavyo. Kujiondoa kwa Uganda na rwanda sio issue...jiendeeni huko mombasa km ndiko mnaona ni bora zaidi. We ddnt force you to use Dar Port. There are many other important users apart from you tutsis. Uhuru is neither a winner nor a genius..he just doesnt knw he is dealing with very wrong persons...mu7 and kagame..
Wanaoteka mabasi na kuua watu huko maporini ni nyie watutsi wenye hamu ya damu za binadamu. Shame on you...
do you need a work .permit to study in Kenya ? not getting this !The selling and buying has been going on but it hasnt reached its potential mainly because of imposed barriers. We in Kenya would want to see more of Tanzania's stuff...they're very few btn apart from what mama mboga sells. The biggest problem that Kenyans have in Tanzania is Kenyans are treated like 3rd class foreigners. Someone might have a contract to work for 3 years but u issue a work permit of 2weeks, then they have to keep renewing unfair because those Tanzanians who come to Kenya to study or work are treated like East Africans and dont even require a work permit. Thats why we feel you Tznians are not committed may be it feels nice being called SouthAfricans than East African
dont cheat us. Tanzania are not treated well in Kenya. there is nothing to loose go on with Ruanda and Uganda. I guarantee you it wont take long. we Tz are civilized and hospitality is our culture
Sioni kama kuna ubaya kwa hilo, ila kama wanafanya kukurupuka wasije wakajutia yanayoendelea ndani ya umoja wa Ulaya,
Tanzania inaweza kuchukua nafasi sawa na ya Uingereza katika muungano huu. Maana Uingereza ilikataa kuijiingiza moja kwa moja kwenye swala la sarafu na muingiliano wa watu katika ushiriki wao kwenye umoja wa ulaya na sijaona kama kuna hasara wamepata bali naona tu kuna faida zaidi, kwa kuangalia yaliyotokea baada ya matatizo ya kiuchumi kwenye jumuiya ya ulaya.
Nchi nyingi majirani zetu hali ya usalama bado ni ndogo na kufungua mipaka kwa kasi bila tathmini ya kutosha juu ya kudhibiti uhalifu na mambo mengine yanayo fanana na hayo huku tukijua kwamba idadi ya watu wasioajiriwa kwenye nchi nyingi za EAC ni kuweka maslahi ya nchi rehani.
Kenya bado wanapambana na jamaa zao wa Somalia, Rwanda wana waasi kwao, Uganda nao vile vile etc.
Nasupport Tanzania kuwa na limited participation kwenye EAC maana kama kuna baadhi ya members wamekuwa na hasira zenye dalili ya kutotakia mema members wengine, ni muhimu ushiriki wa umoja huu ukafanyika kwa umakini huku maslahi mapana ya utaifa yakizingatiwa,
Nazidi kusisitiza kwamba nchi huwa haziendelei kwa kugawana umaskini wao bali kwa mapinduzi yanayoanzia ndani.
Mfano modogo ni nchi ya korea kusini na kaskazini. Nchi ya korea kusini haikushindwa kufanya vizuri eti kwasababu wana matatizo ya kimaslahi na majirani zao wa kaskazini.
Duh, Lazima tutafakari maana bandari mpya na kubwa kuliko zote Afrika inayojengwa Bagamoyo itapakua na kupakia Meli /kontena ngapi? au itabakia kuwa gofu-lisilo-matumizi a.k.a A White Elephant? Na mkopo wa China tutalipa vipi bila bandari kutumika au itabidi wa_China wakombe madini yote kama fidia yamkopo?!
Ni bora kuuvunja Shirikisho la EA (EAC) hawa watu hawana maana kushirilkiana nao halafu wacha wajitenge
Magazeti mbona yanaandika vingine kuwa baadhi ya Marais hawakuhudhuria na sababu zilitolewa,JK namsifu kwa kutohudhuria na taarifa zimetolewa mbona hiyo ya Visa haipo?
Marais wakosa mkutano - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu uliokuwa ukifanyika Nairobi, Kenya, umemalizika jana bila kuwepo kwa
Rais Jakaya Kikwete, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mawaziri wa ulinzi kutoka nchi za Maziwa Makuu, walitoa taarifa zao na kujadiliwa. Kizimbuzi weka link kuliko kusema umesikia tu kutoka DW je ni lini na nani kasema? ile ya Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Julai nimeikubali imekaa ki Great Thinker kabla ya muda