Kenya, Uganda, Rwanda Karibuni JF tuongee

Kenya, Uganda, Rwanda Karibuni JF tuongee

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Nawaomba JF au Members wa JF tuwakaribishe Rwanda, Kenya, Uganda na Burundi.

Pia tusiwaache Zambia, South Sudan, na DRC.

JF wafanye promotion huko na pia sisi JF members tuwaalike marafiki zetu kutoka huko

Faida zake zipo maana tutajua BIz opportunities na Kazi pia
 
Jf is a social forum operating in any country of the world
 
Mnataka kuumbuka na mambo yenu ya kiujinga jinga no action words only.
Waacheni waingie kiuchache uchache huu huu wakenya hawawezikuelewa mnatnga maandamano
halafu hamuandamani!

Shame!

Msiwakaribishe kwa kishindo acha wadandiye dandiye hivi hivi!
 
wazo lako ni zuri sana itatusaidia hata kuelewa vzr siasa za nchi jirani, hii nadhani moderators wanaweza kwenda nchi hizo na kuutangaza km walivyofanya hapa kwetu
 
woo woo woo,kenyan tena?dah kitu kipya
 
wakenya tuje huku
thank Invisible...from now mimi nishavuka border ...
hivi hata ukiwa huku kenya unakula ban?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeipenda hii,
tutajifunza mambo mengi zaidi,
mimi najua nchi hizi zimeshatuzidi hata kwa kiuchumi
tutajifunza zaidi.
 
I believe, I one time I will travel abroad, to Kenya for work. I will compete and I WILL WIN. Thanks JF
 
Bora kujuzana yaliyo mema mambo yasiyofaa tuwaachie wenyewe kama ushoga , ubasha , ukatili na ubaguzi
 
nawakaribisha sana watu wa commoro .anjuan karbuni sana tuongee ,tubadilishane mawazo n.k
 
Penye ukweli uongo hujitenga:
Si kweli mkuu Mamndenyi

"Mimi nimeipenda hii,
tutajifunza mambo mengi zaidi,
mimi najua nchi hizi zimeshatuzidi hata kwa kiuchumi
tutajifunza zaidi.

  • Niambie nchi gani zimetuzidi kiuchumi..Kenya pekee ndo ina GDP kubwa katika Afrika Mashariki..Uganda & Rwanda wamepitwa na Tanzania kwa uchumi mkubwa.
Lete data, kama huna mie ntakupa data ku-"support" ninachosema: Karibuni Wakenya, Waganda, Wanyarwanda na wote wengine..lakini tunataka heshima humu jamvini.
 
Aaaaah! Kweli,heshima iwepo.
 
ni wazo zuri sana jamani tutajifunza mambo ya kisiasa za wageni, tamaduni za wengine, na mambo ya kibishara nasupport hii kitu pia

Back
Top Bottom