Kenya tunaiombea amani Tanzania kwa chaguzi zenu

flyingcrane

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
241
88
Ningependa kuwakumbusha majirani zetu Tanzania kuweka amani katika chaguzi zinavyofanyika nchini mwenu. Kenya ilipokuwa kwa ghasia za kisiasa mulitusaidia kujinasua kutoka kwa janga hilo.

Kwa muda nimeona rabsha hapa na pale katika chaguzi zinazoendelea. Amani inapopotea ni gharama kuirudisha, ni vyema mudumishe amani sababu sisi tunaijua TZ kama nchi ya amani
 
Ningependa kuwakumbusha majirani zetu Tanzania kuweka amani katika chaguzi zinavyofanyika nchini mwenu. Kenya ilipokuwa kwa ghasia za kisiasa mulitusaidia kujinasua kutoka kwa janga hilo. Kwa muda nimeona rabsha hapa na pale katika chaguzi zinazoendelea. amani inapopotea ni gharama kuirudisha, ni vyema mudumishe amani sababu sisi tunaijua TZ kama nchi ya amani

Tunashukuru kwa ujumbe wako mzuri, lakini wanaolazamisha vurugu ni chama tawala CCM kwa kushindwa kukubali kuwa kimechokwa hatukitaki.

Ila kinalazimishwa kupendwa wakati kimekithiri kwa ubadhirifu wa kila aina.
 
Viongozi wa kiafrika ndivyo walivyo. nchi jirani iliyobaki na amani sasa ni Tanzania na hatungependa kuona jirani anapitia yale tuliyopitia, kama CCM hamuitaki muchague CHADEMA na kazi itakuwa imeisha.
 
Ningependa kuwakumbusha majirani zetu Tanzania kuweka amani katika chaguzi zinavyofanyika nchini mwenu. Kenya ilipokuwa kwa ghasia za kisiasa mulitusaidia kujinasua kutoka kwa janga hilo. Kwa muda nimeona rabsha hapa na pale katika chaguzi zinazoendelea. amani inapopotea ni gharama kuirudisha, ni vyema mudumishe amani sababu sisi tunaijua TZ kama nchi ya amani

Wewe mkenya wa wapi wewe? Mkaguru wa Gairo umekuwa Mkenya?
 
Ningependa kuwakumbusha majirani zetu Tanzania kuweka amani katika chaguzi zinavyofanyika nchini mwenu. Kenya ilipokuwa kwa ghasia za kisiasa mulitusaidia kujinasua kutoka kwa janga hilo.

Kwa muda nimeona rabsha hapa na pale katika chaguzi zinazoendelea. Amani inapopotea ni gharama kuirudisha, ni vyema mudumishe amani sababu sisi tunaijua TZ kama nchi ya amani

Daima amani tutaidumisha TANZANIA, twaamini hivyo maana Mungu yu-upande wetu.
 
Hakuna watu wana roho mbaya kama Wakenya. Al shabab wanawafanya vizuri sana kuwapa adabu
 
Ningependa kuwakumbusha majirani zetu Tanzania kuweka amani katika chaguzi zinavyofanyika nchini mwenu. Kenya ilipokuwa kwa ghasia za kisiasa mulitusaidia kujinasua kutoka kwa janga hilo.

Kwa muda nimeona rabsha hapa na pale katika chaguzi zinazoendelea. Amani inapopotea ni gharama kuirudisha, ni vyema mudumishe amani sababu sisi tunaijua TZ kama nchi ya amani

MUNGU wa Yakobo na Ibrahim akuzidishie hekima na maisha mazuri tena marefu sana!
 
Back
Top Bottom