Kenya sio Tanzania au Uganda!

Kenya sio Tanzania au Uganda!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Cheche za maneno, mirengo mipya ya kisiasa na ubabe wa vyama tayari imeanza kusheheni nchini Kenya, miezi 14 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.

Miongoni mwa viongozi wanaogonga vichwa vya habari ni pamoja na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua aliyetimuliwa kazini miezi kadhaa iliyopita.

Gachagua amekuwa akiendeleza kampeini ya kuunda muungano wa upinzani kwa nia ya kumng'oa madarakani Rais William Ruto. Gachagua amezungumza na BBC kuhusu azma yake ya kuwania urais.


 
Dah!

Mambo mengine ni ya kuonea haya na kunyamaza tu kuyasemea!

Huyu naye unatuwekea hapa kama mfano wa kusikilizwa?

Ndiyo, Tanzania chini ya Samia na Genge la wahalifu wenzake hakuna namna ya kuitetea kwa uduni inaopitia sasa hivi.
Lakini kuleta taarifa za watu kama huyu kuwa mfano wa kuwakoga watu; utakuwa uzalendo wa huko umekukorea akilini kuzidi kiasi.

Mara hii umekwishasahau kabisa Nyayo ilivyowatia jambajamba?
Kweli kuna watu wanaazima hadi akili.
 
Back
Top Bottom