johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Nonsense😎Nina imani, nchi yetu ipo kwenye njia sahihi baada ya kupotezwa kwa miaka mitano.
Lakini alichokisema kina hoja au hakina hoja? Usiendekeze chuki binafsi bila kudadavua mantiki ya kile alichokisema.Sasa huyo 'Samjo Samjo' Rostam Aziz akitema hayo Madini kwa Kuongea hivyo hapo Ukumbini Nairobi 'Practically' ina Tija ipi ( gani ) kwa Maendeleo ya Tanzania yetu hii?
Usitake tu Kutulazimisha tuseme yake.
Unataka pindi akimaliza tu kuongea uone maendeleo siyo?Sasa huyo 'Samjo Samjo' Rostam Aziz akitema hayo Madini kwa Kuongea hivyo hapo Ukumbini Nairobi 'Practically' ina Tija ipi ( gani ) kwa Maendeleo ya Tanzania yetu hii?
Usitake tu Kutulazimisha tuseme yake.
Kaharibu mno Uchumi wa Tanzania hasa hasa ( 2005 hadi 2015 ) kwa 'Usamjo Usamjo' wake akibebwa na Kushirikiana waliokuwa 'Maswahiba' wazuri wa Msoga na Monduli.Lakini alichokisema kina hoja au hakina hoja? Usiendekeze chuki binafsi bila kudadavua mantiki ya kile alichokisema.
Haueleweki, Unaweza kuwa na hoja nzuri sana, ila unashindwa kuwakilisha hapa.Hapa Rostam nampinga kwa kiasi fulani, wajibu wa kutumia raw materials ni watanzania kuzalisha bidhaa bora ukiwa unalalamika unataka nani aje kuweka viwanda halafu kwa maneno ya Mama jana kuna wakenya wamewekeza zaidi ya kampuni 500 na kutengeneza ajira karibia alfu 56 wakati Tanzania wame invest kampuni 30 Kenya na kuzalisha ajira 2000 hivi sasa anahitaji usawa upi angekuwa specific. Kilimo tu ni ajira kubwa kwetu tukiweka nguvu za dhati katika kilimo hasa kilimo cha kisasa.
He's one of the 'Corrupt' Businessman.Unataka pindi akimaliza tu kuongea uone maendeleo siyo?
Halafu unalugha chafu ya ubaguzi, sio vema mkuu
Eti Kenya wana makampuni 513 hapa bongo afu sisi tunayo 30 tu kule Kenya!Rostam kawagonga kweli!
Hayati alijenga mazingira wezeshi ya ukuzaji wa biashara. Kufufua reli iliyokufa zaidi ya miaka 25 ni ujenzi wa mazingira ya usafirishaji ambayo ni nyenzo muhimu kibiashara.Meko si alikua anakimbiza investors hapo Tz.
Sasa hizo processing industries zingejengwa na nani?
Lile nyangumi bora halipo kabisa.
Bila ya kuvutia wawekezaji seriously tutaendelea kuuza raw materials tu.
Mkuu lakini, there is a whole unit to deal with corruption, if they have not caught him, We will not help you, Let's do Our affairs chief.He's one of the 'Corrupt' Businessman.