Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

Sasa huyo 'Samjo Samjo' Rostam Aziz akitema hayo Madini kwa Kuongea hivyo hapo Ukumbini Nairobi 'Practically' ina Tija ipi ( gani ) kwa Maendeleo ya Tanzania yetu hii?

Usitake tu Kutulazimisha tuseme yake.
Kipi ambacho Rostam hajawahi semwa na bado ana dunda?
 
Nina imani, nchi yetu ipo kwenye njia sahihi baada ya kupotezwa kwa miaka mitano.

Tukazanie kujenga mifumo itakayozuia Taifa kuangukia kwenye uongozi wa watu wasio na uwezo. Mifumo iwezeshe, akitokea kiongozi wa hovyo, kuwe na utaratibu rahisi wa kumwondoa.

Fikirieni miaka mitano tuliyokosa uongozi sahihi, hasara kubwa tuliyoipata kwa sekta mbalimbali. Na ikumbukwe kulikuwa na hatari ya nchi kuburutwa kwa miaka kumi, na pengine zaidi.

Sasa hapo point yako ni nini, ama unajaribu kumlaumu mtu mwingine kwa umaskiniwako mwenyewe wa kujitakia.
Hizi akilizako ndogo ulizotumia ku comment huu utumbo hapa ungezitumia kufanya kazi usinge kuwa unalialia hapa.

Awamu ya tano imefundisha watu kupambana kujitegemea, kama ulikuwa mvivu haya ndio matokeo yake.
Namliambiwa kabisa asiefanya kazi na asile, ukiendelea na uvivu utalaumu kila awamu mbaka unaingia kaburini.
 
kapiga hasa

DISAPPOINTED TANZANIA BUSINESS MOGUL ASKS TOUGH QUESTIONS AT UHURU & SAMIA'S MEETING IN NAIROBI!!​

 
Binafsi nachukia bidhaa za Tanzania hazina ubora kabisa nitoe mfano wa dawa ya viatu kiwi ukichukua ya Tanzania inaharibu ngozi ya viatu haina mng'ao kabisa lakini kiwi ya Kenya ninzuri sana ata ukienda kwa shoeshine yeyote anakwambia dawa za Tanzania ni mbaya.
Kwahiyo tusilazimishe bidhaa zetu kwenye masoko tuziboreshe kwanza.

Uyo Rostam ni muhuni tu amewahi kuzalisha kitu gani chenye ubora akakiuza nje ya nchi? Sanasana amekuwa mpiga dili nakukimbiza pesa zetu nje ya nchi.
 
Hayati alijenga mazingira wezeshi ya ukuzaji wa biashara. Kufufua reli iliyokufa zaidi ya miaka 25 ni ujenzi wa mazingira ya usafirishaji ambayo ni nyenzo muhimu kibiashara.

Ufufuaji wa shirika la ndege ni urahisishaji wa biashara kimataifa. Kama sio corona muda huu Air Tanzania ingekuwa kila wiki inakwenda China na kurudi kupeleka matikiti. Kama sio corona muda huu biashara ya maua ya Arusha ingeitumia sana Air Tanzania kuyapeleka Amsterdam na kwingineko.

Hayati hakutaka dharau kama zile za kipindi kile mamlaka ya anga ya Kenya kuzuia ndege zetu kisa corona halafu kukubali ziingie kwao ndege za US na UK ambako ugonjwa ulikuwa umepamba moto. Dharau ile ilijibiwa vizuri sana na TCAA kwa kuzuia ndege zao zisiingie nchini.

Tufanye biashara pamoja kwa kila hali lakini tuheshimiane, tusileteane dharau za kutaka kuburuzana.
Mnatukela na taarifa za marehemu naninyi mtakufa muda mfupi
 
Rostam kama Mtz, basi mbona hataki wekeza Tz kwenye kilimo ili atoe ajira, na kuwezesha kupata malighafi kwa ajili ya viwanda, ambavyo vitazalisha ajira na pia kuwezesha serikali kupata kodi na kuwezesha kuinua uchumi wa nchi.... kaazikweli kweli.
Hapa Rostam nampinga kwa kiasi fulani, wajibu wa kutumia raw materials ni watanzania kuzalisha bidhaa bora ukiwa unalalamika unataka nani aje kuweka viwanda halafu kwa maneno ya Mama jana kuna wakenya wamewekeza zaidi ya kampuni 500 na kutengeneza ajira karibia alfu 56 wakati Tanzania wame invest kampuni 30 Kenya na kuzalisha ajira 2000 hivi sasa anahitaji usawa upi angekuwa specific. Kilimo tu ni ajira kubwa kwetu tukiweka nguvu za dhati katika kilimo hasa kilimo cha kisasa.Akina
 
Ndugu zangu,

Habari ndio hiyo
Screenshot_20210505-124954.jpeg
 
Rostam kama Mtz, basi mbona hataki wekeza Tz kwenye kilimo ili atoe ajira, na kuwezesha kupata malighafi kwa ajili ya viwanda, ambavyo vitazalisha ajira na pia kuwezesha serikali kupata kodi na kuwezesha kuinua uchumi wa nchi.... kaazikweli kweli.
Hivi unajua amewekeza Bilioni 50 kwenye Kiwanda cha Ngozi Morogoro au Unataka Kilimo cha mazao ndio upate amani
 
Back
Top Bottom